Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Ni kwa mbali sana.Hujawahi kuona matangazo ya biashara humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa mbali sana.Hujawahi kuona matangazo ya biashara humu?
Kwani we Paw hapo kwenye ofisi za JF kazi yako ni nini hasa? Nikija hapo ofisini nitakuona?Utakuwa umemuona Cookie maana tumefanana, sipo hapo😉
Kwani we Paw hapo kwenye ofisi za JF kazi yako ni nini hasa? Nikija hapo ofisini nitakuona?
Hii fursa ya kutembela hapo ofisini inaruhusiwa kwa watu wote ama ni kundi maalumu?Utazijua ukija, karibu JF
Nimefarijika saana sana kwa kuja, ili nikujue. JF sihami kamwe. Ha ha ha haaa.Mimi hapa mkuu.
Hivi GoT ilishawahi kuipa JF kama JF tuzo au kuwatambua kwa mchango wao kwa Tanzania kweli!??Naiheshimu kama Mama yangu mzazi!
Naiheshimu kama Mama yangu mzazi!
Labda 2025Long Live JF, [emoji179][emoji1241]
Japo hatujaambiwa ajenda ya Balozi.
Huwezi ukajua, siyo lazima watangaze. Kwani wewe hadi kufikia kusema hivi, unaionaJamiiForums imekaa kaaje?Hivi GoT ilishawahi kuipa JF kama JF tuzo au kuwatambua kwa mchango wao kwa Tanzania kweli!??
"Matendaji" ya GoT yanashinda humu kuchukua "materials" na "points" za kufanyia kazi.
Madudu mengi yanaibuliwa humu.
Ni vyema GoT ikawa na ustaarabu na utaratibu wa kutambua watu au taasisi zinazofanya makubwa katika kimchango wa kuendesha inchi na kuipigisha hatua.
Mbarikiwe Jamii Forum team yote.
Alikujibuje?Swali zuri Sana. Niliwahi kumuuliza Max!
Yupi apo yupo upande wa kulia kushoto, mweupe, mfupi, msichana MwanaumeNimemuona moderator anayenipigaga ban
Kwani na wewe ni komandoo wa TWJNaomba kazi Jf , hata ya kumlinda Mello
Mshaaanza na Mambo yenu ya usalama wa TaifaHivi hapo JF hakuna mapandikizi ya usalama wa taifa kwelii !?? isije kuwa nyeti zetu zipo wazi mbele ya kadamnasi