Balozi wa Sweden atembelea Ofisi za JamiiForums

Hivi Hawa JF wao wananufaikaje kwenye huu mtandao, maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.

Sitaki muamin et mb ndio faida yao maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.

Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Washukuru Platinum Members
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana.

Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE.

Mungu ibariki JF

=========

Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Anders Sjöberg leo Februari 1, 2022 ametembelea ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa JF.

Pamoja na mambo mengine, ameweza kujua namna Jamii Forums inavyoendesha shughuli zake katika kuhakikisha inafanya uchechemuzi wa Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Demokrasia na Utawala Bora nchini Tanzania.

JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com unaotoa nafasi kwa Watanzania kutumia #UhuruWaKujieleza kwa njia ya mtandao na kujadili masuala anuai, ikisaidia wananchi (Citizen Journalists) kupaza sauti zao

Nimemuona Paw hapo, na mod mpiga ban. Noma sana.
 
Kwenye picha ya chini nawaona mods na kwa kuwatazama tu najua anayepigaga watu ban ni nani.
 
Kilichonifurahisha sana kwenye hizo picha ni huyo balozi na team yote ya Jamii Forums kutovaa barakoa na ku keep social distance

Balozi wa Sweden anajionyesha wazi kuwa yeye ni mtu social mtu wa watu anayeendana na majority ya Watanzania ambao hawaamini kwenye kuvaa barakoa na ku keep social distance na kuamini kuwa Corona ni utapeli tu ndani ya Tanzania.

Tofauti na Rais wetu Samia amvaye kutwa kuvaaa barakoa na ku keep social distance na kuamini kuwa Corona ni tishio kwa Tanzania na kujitofautisha na watanzania walio wengi kwa kuvaa barakoa na ku ji social distance kuwa yeye si social au sehemu ya majority!!! Ni sehemu ya minority!

Mzungu huyo balozi haamini kwenye kuvaa barakoa na social distance mswahili kakomaa Hivi tafsiri ni nini?
hivi ndo huyu YEHODAYA tumjuaye au tumeingiliwa?
 
Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa na ni Heshima kubwa sana kwa JF na ni recognition ya nguvu sana.

Kutambuliwa huku kwa JF na Jumuiya za Kimataifa kunakuja kutokana na UHURU MKUBWA WA KUTOA MAONI NA JUHUDI ZA MAKUSUDI ZA KULINDA FARAGHA ZA WATEJA WAKE.

Mungu ibariki JF

=========

Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Anders Sjöberg leo Februari 1, 2022 ametembelea ofisi za JamiiForums na kukutana na watendaji na mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa JF.

Pamoja na mambo mengine, ameweza kujua namna Jamii Forums inavyoendesha shughuli zake katika kuhakikisha inafanya uchechemuzi wa Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Demokrasia na Utawala Bora nchini Tanzania.

JF inasimamia mtandao wa JamiiForums.com unaotoa nafasi kwa Watanzania kutumia #UhuruWaKujieleza kwa njia ya mtandao na kujadili masuala anuai, ikisaidia wananchi (Citizen Journalists) kupaza sauti zao

Hapo kwenye picha kuna ambao ndo huwa wanafuta thread zetu...aisee
 
Hivi Hawa JF wao wananufaikaje kwenye huu mtandao, maana naona tunaingia bure kabisa na kujimwaga tu.

Sitaki muamin et mb ndio faida yao maana hata mb huu mtandao unakula kidogo Sana.

Mwenye uelewa plz anitoe tongotongo hapa
Kitengo maalum cha ..........
 
Back
Top Bottom