JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Leo, Julai 22, 2026, JamiiAfrica imetembelewa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Balozi Charlotta alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania Agosti 2022.
Balozi Charlotta alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania Agosti 2022.