JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Kuna wajinga watasema hakana nyashBalozi kizuri Hadi Raha 🥰
BTW hongereni Sana kupiga kazi mpaka kutambulika na mabalozi wa nje ya Nchi sio kitu chepesi
Sisi JF ni Taasisi kubwaLeo, Julai 22, 2026, JamiiAfrica imetembelewa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Balozi Charlotta alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania Agosti 2022.
Mabwege hao 😄Kuna wajinga watasema hakana nyash
Kabisa , wembamba ni wazuriMabwege hao 😄
Yaani unaona kabisa bi-mkubwa umri ni age go lakini bado pisi