Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.

Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.

Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.

Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini

Screenshot_20250502_140434_X.jpg
IMG_20250502_135919_574.jpg
IMG_20250502_135857_271.jpg
 
Wakuu,

Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.

Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.

Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.

Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini

Yeyote aliyefanya shambulizi kwa padre haitakii mwema nchi.
 
Sasa hivi wako mbioni kuanzisha tukio kuwatoa relini watanzania ishu ya FR kitima. Nadhani wameshamuapproach mwijaku akubali kurekodiwa akitatuliwa marinda halafu wasambaze video. Na mwijaku alivyo Hana mshipa WA aibu atakubali Tu Tena atafurahi.

Nyau de adriz
 
Wachina tumeshawafanya kama kabila ndani ya nchi, kwa hiyo hawa wakapambane na Trump........
 
Wakuu,

Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu🌚.

Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.

Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.

Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini

Wasiishie kutoa matamko ya maneno tu peke yake, waende mbali zaidi ya hapo
 
Nchi imevuliwa nguo na Wahuni kwa malengo binafsi
Chadema hamuwez kupewa nchi kwa ujinga huu mnayofanya....ninachoamin kama sio nyie mmehusika kwa kujaribu ama kutaka kuchafua taswira ya nchi na kumchafua rais kwa kufanya uhalifu basi hii agenda haiwez kuwapeleka popote na hao walioshikwa watabinywa kende watasema tu nani aliewatuma ..Samia hawezi kamwe ku order shambulizi kwa padri ama mtu yoyote wa dini..kama sio mbinu chafu za chama chenu basi itakua upinzani huko ndani ya Chama tawala..
 
Ni huzuni, na zile video za askari kupiga wanachi na viongozi CHADEMA na zenyewe ni CHADEMA wamejishambulia kwa kuvaa nguo za polisi?:KEKLaugh:
 
Back
Top Bottom