Yeyote aliyefanya shambulizi kwa padre haitakii mwema nchi.Wakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu๐.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.
Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini
Asituharibie Nchi, akubali tu kufanya mabadiliko ya sheria za Uchaguzi na kuifanya Tume kuwa taasisi HURU isioingiliwa na Wanasiasa ili KURA zetu ziweze KUHESHIMIWA na ziweze kuhesabiwa na MAAMUZI YETU yaheshimiwe.Bi ushungi ameyatimba
huku chadema, huku kanisa la wakristo, huku mabalozi, kule vyombo vya habari vya kimataifa, kule raia wataka hakiBi ushungi anatuharibia nchi
Na hatayavaa muda si mudaBi ushungi ameyatimba
Wakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu๐.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.
Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini
Chadema hamuwez kupewa nchi kwa ujinga huu mnayofanya....ninachoamin kama sio nyie mmehusika kwa kujaribu ama kutaka kuchafua taswira ya nchi na kumchafua rais kwa kufanya uhalifu basi hii agenda haiwez kuwapeleka popote na hao walioshikwa watabinywa kende watasema tu nani aliewatuma ..Samia hawezi kamwe ku order shambulizi kwa padri ama mtu yoyote wa dini..kama sio mbinu chafu za chama chenu basi itakua upinzani huko ndani ya Chama tawala..Nchi imevuliwa nguo na Wahuni kwa malengo binafsi
Kazi ya Polisi wa CCMWakuu,
Safari hii wamebonyeza namba nyingine, kitaeleweka tu๐.
Balozi wa Sweden, Ireland pamoja na EU wakemea shambulio la Kitima.
Wataka uchunguzi wa kina ufanyike na wahalifu kukamatwa na kuchukuliwahatua haraka.
Wampa pole, na kumtakia heri apone haraka ili aendelee kupaza sauti kwenye masuala ya demokrasia na uhuru wa maoni nchini
Ni huzuni, na zile video za askari kupiga wanachi na viongozi CHADEMA na zenyewe ni CHADEMA wamejishambulia kwa kuvaa nguo za polisi?Chadema hamuwez kupewa nchi kwa ujinga huu mnayofanya....ninachoamin kama sio nyie mmehusika kwa kujaribu ama kutaka kuchafua taswira ya nchi na kumchafua rais kwa kufanya uhalifu basi hii agenda haiwez kuwapeleka popote na hao walioshikwa watabinywa kende watasema tu nani aliewatuma ..Samia hawezi kamwe ku order shambulizi kwa padri ama mtu yoyote wa dini..kama sio mbinu chafu za chama chenu basi itakua upinzani huko ndani ya Chama tawala..