Tunakopesheka na hayo madeni ni himilivu"Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028)"
Swali: Kwanini tusaini awamu ya tatu ikiwa ya pili bado haijaisha?
Hiyo jeuri mtaitoa wapi?Hivi tunayojeuri ya kumsimanga Ndugu yetu wa wakati huo wa " Msovero" kweli?
Mbaya zaidi hata mkataba wenyewe hajauonaBalozi anafahamu hii taarifa imeandikwa na vyombo mbalimbali vikubwa vya habari duniani kwa maelezo anayopinga??
1. Sitisha ujenzi wa SGR, BRT, viwanja vya ndege na mwendokasi mpaka hii miradi iliyokamilika iweze kutumika na kuanza kuingiza mapatoWa Tanzania humu ukiwasikiliza utasema hii nchi tajiri sana haina shida na mikopo wakati sisi majumbani mwetu tumejawa na mikopo mpaka Vicoba na sasa tumehamia kausha damu. Tanzania bila mikopo haiwezekani na sababu nyepesi tu, makusanyo yetu hayatoshi kuongeza mishahara tu hatuwezi uwezo mdogo sembuse kujenga miundo mbinu? au miradi ya maendeleo. Kama hutaki mkopo ni kuishi kwa uwezo wako na huko ina maana miradi mingi itakufa na uchumi ndio bye bye.
Nchi inahitaji kuzalisha sana, uza sana lakini hatuongelei mambo kama haya tuko busy mikopo, mikopo iko kisheria na wala haijaanza leo toka tunapata uhuru tunakopa tu, kiujumla nchi zote za Africa. Juzi juzi tu Egypt waliokolewa na UAE kupewa billion 35 Billion$ nasema tena 35 sio 2.5 tuyaopiga kelele.
Aweke mikataba mezani tuisome woteBalozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Mavura amesema taarifa hiyo ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwani Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Korea.
“Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
- Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF edcfkorea.go.kr/he/HPHYFE043M01
- Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii.”
- Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
Ngoja nikujibi point zako ambazo ni nzuri lakini nataka nikujibu kiuhalisia.1. Sitisha ujenzi wa SGR, viwanja vya ndege na mwendokasi mpaka hii miradi iliyokamilika iweze kutumika na kuanza kuingiza mapato
2.Uza ndege zote za ATCL na usiendelee kununua nyingine
3. Acha kununua magari ya mavietee(V8) na matumizi mengine yasio ya lazima
4. Rekebisha mfumo wa utawala kupunguza ukubwa wa serikali na bunge mf. ondoa nafasi za RAS na DAS, viti maalum
5. Dhibiti wizi wa mapato na ufisadi kuanzia ngazi za juu hadi chini
6. Ukimaliza hayo unakaa na wakopeshaji kufanya "debt restructuring"
Suluhisho sio kuendelea kukopa tu to bila ukomo
1. Mradi wa ujenzi au miundombinu unaweza kuusimamisha wakati wowote ukafanya jambo lingine la kipaumbele zaidi, sijasema isifanywe ila ifanyike restructuring ya utekelezaji. SGR ya Dar kwend Moro ina miaka saba sasa tangu inaanza kujengwa, hata haijaanza kutumika wameshakimbilia kuwa hadi na Lot ya 6 ! Ilibidi hata kipande cha Dar-Moro kiwe kinafanya kazi kwa sasa ili kuendelea kuingiza mapato, ni hasara zaidi mradi mmoja kufanywa kwa muda mrefu kwa pesa za mkopo, Mwendokasi umejengwa ila hakuna mabasi lakini bado unazidi kujenga barabara nyingine za BRT ili iweje?1- Huwezi kusitisha mradi ukiwa umeshaanza hasara zake ni kubwa kuliko kumalizia. Hili haliwezekani.
2-Ndege sio shida hapa nchi zote duniani ni muhimu kuwa na ndege inachangamsha shughuli zi kiuchumi.
6- Deni au kudaiwa nchi sio shida sababu hatutakuja kuwa debt free zio kizazi hichi wala vijayo tusijidanganye hakuna kitu kama hicho na sababu ziko wazi. Matumizi au mahitaji yetu ni makubwa kuliko uwezo wetu. Nchi haiwezi kuendelea katika dunia ya ushindani bila kuboresha miundo mbinu. Tunataka mambo mazuri lakini huwa hatusemi pesa inatosha? deni sio dhambi inategemea unatumia kwenye nini. Kama unakopa ili kuwezesha matumizi ya kawaida hapo wewe umefilisika.
Kama mtu akikopa Bank ili anunue mboga kila siku huyo mpumbavu na kafilisika lakini kama unakopa kufanya miradi ya kuingiza pesa basi wewe kopa tu hakuna shida.
Wale wazushi wa Marekani wametumia sana Kwa Korea kutoa pesa kwenye mambo ya msingi.Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Mavura amesema taarifa hiyo ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwani Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Korea.
“Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
- Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF edcfkorea.go.kr/he/HPHYFE043M01
- Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii.”
- Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
Bila mkataba na MoU porojo tu hata kwa DP World ilikua hivi hivi ila ile nakala ya mkataba ndio ikawaumbua acheni kutufanya Watanzania wajinga masisiemu leo mnaomba bajeti ya matumizi 17 trillion kati ya hizo 13 Trillion nikwaajili ya marejesho halafu mnakuja na maneno mepesi tuwaaminiBalozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Mavura amesema taarifa hiyo ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwani Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Korea.
“Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
- Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF edcfkorea.go.kr/he/HPHYFE043M01
- Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii.”
- Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
1.Uchumi wa bluu unapatikana wapiBALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA AKANUSHA TANZANIA KUTOA SEHEMU YA BAHARI NA MADINI
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Mhe Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Togolani ameandika,
"Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
1. Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
2. Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF edcfkorea.go.kr\/he\/HPHYFE043M01
3. Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii."
uzushi huwa unatafutwaga?Hao chombo cha habari wamepata wapi taarifa halafu balozi anajibu x !
Wewe uliona wapi mtu anauza bandari na bahari halafu akakubali kuwa ameuza? Wajinga ndio tuliwao.
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa sehemu ya bahari na madini.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Balozi Mavura amesema taarifa hiyo ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwani Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Korea.
“Taarifa hii ina mapungufu makubwa ya kiuandishi, kiuweledi na haiakisi ukweli kwa sababu:
Mbali na mkataba huo, Mheshimiwa Rais alishuhudia utiwaji saini wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding-MOU) mbili za Ushirikiano katika sekta za Uchumi wa Bluu na Madini ya Kimkakati. Aidha, alishuhudia pia kusainiwa kwa Tamko la Utayari wa Kuanza Majadiliano ya Ushirikiano wa Kiuchumi (Joint Statement on the launch of Negotiation on Economic Partnership Agreement-EPA).
- Tanzania haijasaini Mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu nchini Korea. Katika ziara hiyo, Rais ameshuhudia utiwaji saini wa Mkataba MMOJA tu ambao ni mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za kimarekani bilioni 2.5 kwa ajili ya miradi ya miundombinu.
Hivyo, Tanzania na Korea wametiliana saini Mkataba mmoja; MOUs mbili, na Tamko moja.
Nchi 59 zilizoko barani Afrika, Asia na Ulaya zinafaidika na mkopo wa aina hii kutoka EDCF edcfkorea.go.kr/he/HPHYFE043M01
- Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama ilivyoandika.
Tanzania inapata mkopo wa masharti nafuu kupitia Mfuko wa Ushirikiano wa Maendeleo (EDCF) kwa mara ya tatu. Mara ya kwanza dola za kimarekani milioni 733 (2014-2020); mara ya pili dola bilioni 1 (2021-2025) na huu mkopo wa tatu ni dola bilioni 2.5 (2024-2028).
Ni mategemeo yangu kuwa mtakuwa na uungwana wa kurekebisha taarifa hii.”
- Tofauti na mlivyoandika, mkopo huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Hivyo si kweli kwamba mkopo huo utalipwa kwa miaka 5.
Bandari haijauzwa dp world wapo bandarini wanavUa samaki

====
Pia soma:
Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51