Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

Kutokana na unyeti wa hili suala, asiachiwe huyo balozi peke yake kulishughulikia. Iundwe timu ya wajumbe wasiopungua watatu chini ya balozi wetu Sweden, litamalizwa mapema sana.
Hata ukikusanya ma-taga elfu 10, mbeba maono, Lissu pekee anawabwaga chini. Na sabb ni moja, wataenda kutetea uongo. Giza halisimami kamwe mbele ya NURU
 
Kama ni uongo kwanini aombe kuonana nae?
Kumbuka hao ni mabeberu
 
Balozi ndiyo wajibu wake wa kidiplomasia msimfundishe kazi wacha aonane na Mwenyekiti. Katika uzi wangu uliopita humu nilieleza umuhimu wa kipindi hiki kufanya kazi yao kiweledi kupangua hoja na tuhuma zinazochafua nchi yetu.
Tuhuma zinazochafua nchi versus vitendo vinavyochafua nchi
 
Balozi ndiyo wajibu wake wa kidiplomasia msimfundishe kazi wacha aonane na Mwenyekiti. Katika uzi wangu uliopita humu nilieleza umuhimu wa kipindi hiki kufanya kazi yao kiweledi kupangua hoja na tuhuma zinazochafua nchi yetu.
Yapo mambo ya kukaa na kuzungumza ila sio yote, nawaona mmejichafua wenyewe.
 
Ukimjua mmiliki wa channel ten huwezi kubishana hapa kwa hicho walichokitangaza!
 
Hayo Mahojiani yaende live kama anajiamini
Kama lilivyofanya Bunge la EU
 
Kama ni upotoshaji kwa nini wakutane!
Mabeberu wame pandisha mzuka
 
Kutokana na unyeti wa hili suala, asiachiwe huyo balozi peke yake kulishughulikia. Iundwe timu ya wajumbe wasiopungua watatu chini ya balozi wetu Sweden, litamalizwa mapema sana.
Hapo mnafuta kitu gani,kwanini msiache tu?
 
Itapendeza siku atakayofika kwa Mcallister amkute na Lissu ambae yuko hapo hapo Ubelgiji nae kaitwa kwenye hicho hicho kikao.
 
Hakuna kiongozi aliyekuwa na nguvu Afrika kama Ghadaffi..mabeberu wakikuchoka unapotea Meko na M7 jiandaeni
Ukitaka kujua uwiano wa unachokisema angalia jinsi walivyoenda wao wenyewe pale central kumchukua Lissu baada ya kukamatwa, wakahakikisha anapata passport yake mpya huku wamempa hifadhi wiki nzima, wakampeleka kwa escort yao hadi JKNIA, wakampandisha ndege na wakahakikisha amefika salama. Mara tena hizi mambo za EU parliament, Amnesty Intern, mahakama ya Africa na bado Bensouda kule ICC hajatoa kauli yake ndio unaelewa nani anafata baada ya Ghadaffi na Al Bashir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…