mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Yaani Balozi anapoteza muda Kwa maoni ya wajumbe WA kamati watano Kati ya 700?🙄🙄🙄🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuja kapigiwa na mwizi WA Kura ' Nenda karishughurikie hiri Jambo Kwani nirikuchagua ukashangae magorofa huko?.'Huyu balozi wetu utopolo kweli yaan anaulizwa lingine na yeye anajibu lingine
Halafu wala hata hiyo haikuwa pesa yao, ni mali zetu ambazo wameendelea kuzipora Afrika tangu karne na karne. Hao jamaa wanakudanganya sana aisee! Hawana chao huku.Mwehu kama huyo niliyemtaja hapo mwanzo yy c anasema Corona iliisha kwa maombi? Pesa anapokea za nini? Tena toka kwa anaowaita MABEBERU? Jinga sana hili zee
Ufafanuzi ni kwa ajili ya Ufipa wanaojitekenya na kucheka wenyewe kwa upotoshaji wao taarifa za kweli.Huyo bwana si alisema hakujajadiliwa chochote? sasa anaenda kufafanua kitu gani?
Kweli upumbavu ni kipaji [emoji848]
Ni kama wewe unavyodanganywa kwamba wazungu ni MABEBERU wakati wakiongea jambo kidogo tu mnaweweseka mpaka huyo chizi mkuuHalafu wala hata hiyo haikuwa pesa yao, ni mali zetu ambazo wameendelea kuzipora Afrika tangu karne na karne. Hao jamaa wanakudanganya sana aisee! Hawana chao huku.
Unaweweseka wewe na genge lako mnaotamani machafuko na umwagaji damu vitokee kama njia ya kwenda Ikulu. No way!Ni kama wewe unavyodanganywa kwamba wazungu ni MABEBERU wakati wakiongea jambo kidogo tu mnaweweseka mpaka huyo chizi mkuu
tusijipe moyo matatizo ya mwafrika yatatuliwa na mwafrika mwenyewe, hao wakikalishwa chn wakahakikishwa maslahi yao zanalindwa, kila harakati inaishia hapo, hv mauwaji ya zanzibar 2001, uamuzi wa zec 2015 na mengne meng, wazungu hawakuwepo? hv uganda, kenya, rwanda, burund, zimbabwe kuna uchaguzi huru na haki, hapana, maslah yao yapo salama.Tutabisha tutakataa..lakini issue kuu ya hizi conference znazohusu kujibu hoja. "Zote znatakiwa kujibu chanzo chake ambacho ni mwenendo wa uchaguzi wa 28.10.20.".Swali kwa Mtu awaye yeyote mwenye akili "Je uchaguzi ulikua huru na haki "?? If yes "Why and How ?
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
The father of Reality have to show the reality!! Itz very unimaginable that all the time we condemn the westerns as our enemies while everything hv been borrowed from them. Nguzo kuu za ustaarabu duniani ni "Education,Religion and politics. Kama kuna mtu anadhani mzungu kututaka tuwe na siasa bora basi huyo mzungu ni mjinga basi Huyu mtu akapimwe akili...!!!tusijipe moyo matatizo ya mwafrika yatatuliwa na mwafrika mwenyewe, hao wakikalishwa chn wakahakikishwa maslahi yao zanalindwa, kila harakati inaishia hapo, hv mauwaji ya zanzibar 2001, uamuzi wa zec 2015 na mengne meng, wazungu hawakuwepo? hv uganda, kenya, rwanda, burund, zimbabwe kuna uchaguzi huru na haki, hapana, maslah yao yapo salama.
nieleweke na wazalendo uchwara wenye mihemko isiyo na dira. UCHAGUZI TZ HAUKUWA HURU WALA HAKI, HATA MI NIMEMIND MNO, mno, lakini hasira hazijanitoa ufahamu nijidanganye kwamba hawa weupe watakuwa msaada wetu, lah, hebu tafuta nch moja ya Afrika iliyowahi saidiwa na ikafanikiwa katika demokrasia, uchumi, au teknolojia.
Unajua, hasa wasomi wa afrika na hasa kwa mada hii, wasomi chipukizi wa tz tunajichoresha na kujidharaulisha mbele ya wazungu tunapoonesha too much dependence, yaani hadi kimawazo, tumedhani wazungu ni malaika kabisa, baadaye tutawapa hadi wake zetu na bedrooms zetu watuongezee.
Wazungu ni wadau wa maendeleo kwa kutafuta faida, wapigaji pia. Tushirikiane nao kwa akili tusijiweke uchi mbele yao, si madaktari wenye nia za usaidizi, husaidia vema pale maslahi yao yanapoheshmiwa.
kwa mfano, wanatusoma akili zetu kirahisi wanapoona tunapokea kwa shangwe na shauku kuwekewa vikwazo kwa taifa letu, ndio, serikali imeharibu sana, ila sisi tungepokea habari hyo kwa kuwa wakali sana kwa serikali yetu, yaani ilikuwa uwe mgogoro mkubwa kati ya wananch, hasa wasomi na serikali yetu. Kama kweli ni wazalendo ulikuwa muda kuanza vuguvugu la mabadiliko ya kidemokrasia, lakini sisi tunasema, haya haya kumekucha sasa, wengine et watawala wataisoma namba, tunaonyesha hatujitambui, atakayeisoma namba ni bibi yako, shngz yako, wazaz wako na ww na maskn weng, watawala na familia zao wana uhakika wa maisha unaotokana na kodi zetu. Watawala watakuwa na kiburi tu maana kwa vipato vyao wanaweza hata kumudu maish ya mil 8 kwa siku, kwa sababu hatujatishia usalama wao madarakani, WATASHNDANA NASI HAKIKA HAWANA CHA KUPOTEZA, ILI KUTUONYESHA JEURI NA KUTUKOMOA. NA wamefanya hvo mara kadhaa, wakiamua kutuzma kvngne wanawahakikishia wazungu kwamba hakuna kitakachoharibika juu ya maslah yao, afu ndo tunakomeshwa ile mbaya, mfano UGANDA, RWANDA, EGYPT, E. GUINEA n.k.
Wewe ni punguani sina muda wa kujibizana na wapuuzi mimi endlea na wapuuzi wenzio.Unaweweseka wewe na genge lako mnaotamani machafuko na umwagaji damu vitokee kama njia ya kwenda Ikulu. No way!
Huna muda wa kujibizana? Hapo kwani umefanya nini??? Itakuwa hiyo kauli yako inaapply mahali naona. JPM kawaparua awamu hii hata jaman hali.Wewe ni punguani sina muda wa kujibizana na wapuuzi mimi endlea na wapuuzi wenzio.