Balozi wa Uganda atimuliwa Marekani kwa kuleta Uafrika, Alimtandika mkewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .

Chanzo - Mwananchi

Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
 
Jamaa alidhani yupo Africa nini!??[emoji23] [emoji23]

Jamaa aliandaa Misa ya Shukran kwenye Makazi yake Washington, Mmoja wa wahudhuriaji wa Missa hiyo alikuwa Hawara yake ambae Huyo Mama alikuwa anamjua na alipomuona Yule Hawara akamtambua na akalianzisha kwa Mumewe mbele ya wageni

Baada ya Misa kwisha Yule Mwanaume ukabidi amtembezee kisago cha Mwana ukome Yule Mkewe ili awe na adabu Siku nyingine
 
Nilikuwa na kijisafari changu cha kibiashara huko Maryland , nafikiria niende au niache , naona aibu sana !
Kama unatumia passport ya mwananchi (ordinary) haina shida; nenda zako kapige kazi Mkuu. Ila kama unatumia yale ma-passport wenyewe sijui wanayaita ya watu maalumu ambayo yanawatia viburi kujiona wao ni special sana kweli utaaibika; Trump anawaona "takataka" tu kutokana na matendo na mienendo yao kama huyo wa Uganda.
 
Typical black culture! This the precise definition of shit-hole. Halafu kwa matendo haya wanakimbilia kutoa vijitamko vya kijinga kulaani.
 
ila wao kututukana nchi za uvundo ni ustaarabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…