Isa khamisi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 431
- 408
Huo ndio ushithole anaousem Trump .Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .