Isa khamisi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 431
- 408
Huo ndio ushithole anaousem Trump .Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
Nini kilitokea sasa ?Violence against women sio jambo la Waafrika tu, au mmesahau dozi aliyopewa Rihanna!
Kwi! Kwi! Kwi!Kuna mmoja alimpigaga mkewe mpaka akazimia akenda kulazwa hospitali.
SHITHOLES ktk ubora waoWizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
Wewe ni mwafrica ?Wacheni ukuku nyie mnaomshambulia huyo Balozi.Jamaa namkubali kwa itikadi hizo big time. Mke akileta ujuaji unampa nakozi za kutosha anarudi kwenye msitari. Demokrasia za kupangiwa zamu za kufua nguo za mtoto na kupika ni big NO.
Washamba gani tena Mkuu? Mbona kila mtu atamani kwenda mamtoni?teh teh ee.. ndio maana washamba na walimbukeni wa bongo hawasafir kabisa huko, wataaibika bure!
Mwanamke mweusi ni Kama Punda, bila ya viboko haendi
Sasa yako wewe mbona ukija Dar unakuja nayo na huiwachi Tunduma?Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
Huyu Mwanadiplomasia kaleta aibu sana nadhani Mkewe alimnyima kitu jamaa akaona isiwe tabu ngoja nikunyooshe ili twende sawa.Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .
Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani imemtimua balozi mdogo wa Uganda nchini humo kutokana na ugomvi wa kifamilia uliosababisha ampige mke wake , mangumi na mateke .
Chanzo - Mwananchi
Mytake - Mnapoenda kwenye nchi za watu mambo yenu ya kishamba yaacheni hukohuko kwenu , nchi za watu hata hirizi ya kiunoni ni lazima uivue kwanza ndio uende .