Balozi wa Uingereza aulizia kombe na medali za Kimataifa alipotembelea Club za Simba na Yanga

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Balozi wa Uingereza leo alizotembelea timu za Simba kule Bunju na Yanga Jangwani, ilipofika aliulizia Makombe na Medali za Kimataifa, kule Bunju hakupata Kombe wala Medali bali Ahmed Ally akawa na lazi ya kumuelezea historia ya robo fainali na kufa kiume, alipoenda Jangwani akaonyeshwa Medali na Makombe.
 
1. Kwa mfano Al Ahly au Wydad angekuwa ndiyo Yanga aliyenza Champion League akatolewa akaenda shirikisho akachukua medali au kombe. Utasema Al Ahly au Wydad kiwango chake kimeshuka au kimepanda?

2. Timu iliyopangwa Champion League ikatolewa ikaenda shirikisho mpaka fainali ikachukua medali au kombe na timu iliyopangwa champion league ikacheza mpk robo fainali ipi ni timu bora na kiwango chake kiko juu?

Simba ni timu kubwa na bora Afrika ndiyo maana hata Yanga akicheza na Simba hujiona amecheza na timu kubwa na bora ndiyo maana hujilinganisha na Simba na siyo timu zingine😁😁😁

Una medali za shirikisho halafu unaona ni timu kubwa wakati kwenye mashindano ya timu kubwa na bora AFL haupo 😁😁😁😁😁

Timu zinakaza zicheze Champion League na AFL tu, Yanga inajivunia kucheza shirikisho (Confederation), medali za shirikisho na ndiyo mashindano yake makubwa ya kimaitafa😁😁😁😁😁
 
Soon utajua kuwa hujui
 
Wewe una medali gani? Maana hiyo shirikisho tuu uliloga mchana kweupe ugenini
 
Sijui INFANTINO RAIS WA FIFA ANGEKUJA KWENYE MECHI YENU INGEKUWAJE???????

acha izi kauli ziendelee kuishi.

"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Mbona haujajibu maswali?
Kipindi hicho Yanga ilikuwa wapi? Jibu maswali
Timu bora na kubwa Afrika zinacheza Champion League na AFL tu
Timu bora ni zile zinazocheza nusu fainali na kufika fainali sio zinazoishia robo robo kila Mwaka.
 
Soon utajua kuwa hujui
Kaa na medali zako za shirikisho.
  • Kipindi Simba inacheza shirikisho, yanga ishatolewa kitambo
  • Kipindi Simba anacheza Champion League mpaka robo fainal, Yanga alishatolewa muda mrefu yupo shirikisho anapambania medali
  • Kipindi Simba anacheza African Footbal League, Yanga kakalisha matako
Kati ya Simba na Yanga, ipi ni timu bora hapo?😁😁😁😁
 
Timu bora ni zile zinazocheza nusu fainali na kufika fainali sio zinazoishia robo robo kila Mwaka.
Usifananishe takataka ya Shirikisho na Champion League pamoja na African Footbal League.
Yanga anasafari ndefu sana ya kuvunja rekodi ya Simba.
Timu kubwa inajisifu imechukua medali na kucheza fainali ya shirikisho?😁😁😁😁
Mashindano makubwa
1. AFL
2. Champion League
3. Timu zilizochoka na hazijiwezi, hucheza Confederation
-Kwanini Yanga na USM Ulger hawapo kwenye League ya timu bora na kubwa Afrika ya African Footbal League?
 
Timu bora ni zile zinazocheza nusu fainali na kufika fainali sio zinazoishia robo robo kila Mwaka.
Unajua timu iliyoishia Champion League robo fainail ni timu bora kuliko iliyochukua medali au kombe shirikisho?
1. African Footbal League
2. Champion League
3. Confederation.
Timu iliyooishia makundi champion league ni timu bora kushinda zote zilizocheza Shirikisho mpaka aliyechukua kombe
😁😁😁😁😁😁😁😁
Waliyoita Yanga ni utopolo hawakukosea. Bado inawaza medali za shirikisho na kujifananisha na Simba.
 
Kipindi Yanga inaingia mara ya kwanza makundi Club Bingwa Africa,Simba walikuwa bize kubadili jina kutoka Queen Sport Club kwenda Simba.
 
Ni kweli ndio maana USMA Alger ni bingwa wa Mabingwa
 
Kipindi Yanga anacheza fainali Simba alikua wapi? Kuna kuna vipengele unaruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…