Balozi wa Uingereza aulizia kombe na medali za Kimataifa alipotembelea Club za Simba na Yanga

Balozi alichotaka ni medali au makombe, maneno maneno onyesha kitu cha kuonekana
Huwa hamna timu yoyote ya kuilinganisha zaidi ya Simba?
Kuna TP mazembe, Mamelod, Wydad, Al Ahly n.k
Una makombe, medali n.k halafu bado unateseka kuhusu Simba😁😁😁😁😁. USM ulger atasemaje?
Simba haina medali kwasababu msimu 2022-2023 haikucheza shirikisho
 
Jikite kwenye mada

Balozi wa Uingereza leo alizotembelea timu za Simba kule Bunju na Yanga Jangwani, ilipofika aliulizia Makombe na Medali za Kimataifa, kule Bunju hakupata Kombe wala Medali bali Ahmed Ally akawa na lazi ya kumuelezea historia ya robo fainali na kufa kiume, alipoenda Jangwani akaonyeshwa Medali na Makombe.
View attachment 2799155
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuuliza swali we unatoa maelezo mengii. Hayo mashindano si hata wewe ulishiriki lakini ukaishia wapi? Unaitafuta heshima kwa roborobo while mwenzako ana medali kwa kucheza fainali bila kualikwa
Aliyesema ni Utopolo FC hakukosea.
Unalazimisha jambo ambalo halipo.
  • Kipindi Yanga anachukua medali Simba hakucheza shirikisho.
  • Kipindi Simba ilicheza shirikisho mpaka robo fainal, Yanga alikuwa ametolewa muda mrefu.
Unachohangaika ni maumivu kuona Simba yupo juu zaidi ya Yanga.
  • Kipindi Simba, anacheza robo fainal ya shirikisho, yanga ilifika?
  • Hizo medali zako, zimekufikisha wapi wakati hata AFL haupo?
Mwenye medal za shirikisho hayupo AFL, ambaye hajacheza shirikisho yupo AFL huoni kamq unatafuta faraja isiyokuwepo?
Kama medali ni kigezo cha ubora au makombe, kacheze Ndondoo Cup upate medali na makombe.
 
Kwa hiyo waliona aibu kumpelekea pale Msimbazi maana jengo zima limejaa matambara.
Lile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?
Aliuliza.
1. Mbona mna makombe na medali halafu African Footbal hampo?
2. Mbona Simba hana medali wala makombe na AFL yupo?
 
Alishajibiwa kuwa ile ni viti maalumu hakuna qualifications zozote.
 
Huwa hamna timu yoyote ya kuilinganisha zaidi ya Simba?
Kuna TP mazembe, Mamelod, Wydad, Al Ahly n.k
Una makombe, medali n.k halafu bado unateseka kuhusu Simba😁😁😁😁😁. USM ulger atasemaje?
Simba haina medali kwasababu msimu 2022-2023 haikucheza shirikisho
Walivyocheza shirikisho walipata medali?
 
Lile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?
Aliuliza.
1. Mbona mna makombe na medali halafu African Footbal hampo?
2. Mbona Simba hana medali wala makombe na AFL yupo?
AFL lile ni bonanza ,ndio maana Ulaya walilikataa, na kuna uwezekano likafutwa
 
Alishajibiwa kuwa ile ni viti maalumu hakuna qualifications zozote.
😁😁😁😁😁😁. Mnajua kujifariji
Kuwa na medali maana yake wewe ni timu bora.
Timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2022-2023 zimecheza AFL.
Mbona Yanga haipo AFL pamoja na medali zake? Ndiyo ujue Simba ni timu bora Tanzania kuliko Yanga😁😁😁😁😁
Huwa hamna timu ya kujilinganisha tofauti na timu bora km Simba?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mnajua kujifariji
Kuwa na medali maana yake wewe ni timu bora.
Timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2022-2023 zimecheza AFL.
Mbona Yanga haipo AFL pamoja na medali zake? Ndiyo ujue Simba ni timu bora Tanzania kuliko Yanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Kama wewe timu bora 2022/2023 mbona haupo kwenye list,sio kitimu wala mchezaji huna anakushinda hata Malumo.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mnajua kujifariji
Kuwa na medali maana yake wewe ni timu bora.
Timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2022-2023 zimecheza AFL.
Mbona Yanga haipo AFL pamoja na medali zake? Ndiyo ujue Simba ni timu bora Tanzania kuliko Yanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa hamna timu ya kujilinganisha tofauti na timu bora km Simba?
Timu yako ipo hapo?
1698828624616.jpg
 
Walivyocheza shirikisho walipata medali?
Msimu wa 2022-2023 kipindi Yanga anachukua medali.
1. Unafikiri kati ya Simba na Yanga, nani alikuwa bora?
2. kwani kwenye timu bora na zilizofanya vizuri msimu wa 202-2023 ambazo zinatakiwa zicheze AFL, Yanga haipo?
Medali zako za shirikisho zimekusaidia nini wakati AFL haupo
 
Huo msimu unaousema wewe hukuondoka hata na Kombe moja wala medali sio ligi ya ndani wala Kimataifa.
 
Back
Top Bottom