Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
- Thread starter
- #41
Jikite kwenye madaDogo unahangaika kama kuku anayetaka kutaga. Yaani uzi hauna maudhui kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye madaDogo unahangaika kama kuku anayetaka kutaga. Yaani uzi hauna maudhui kabisa
Analeta ngonjera badala ya kumwonyesha Balozi Medali au Makombe.Balozi alichotaka ni medali au makombe, maneno maneno onyesha kitu cha kuonekana
Huwa hamna timu yoyote ya kuilinganisha zaidi ya Simba?Balozi alichotaka ni medali au makombe, maneno maneno onyesha kitu cha kuonekana
Huwa hamna timu yoyote ya kuilinganisha zaidi ya Simba?Jikite kwenye mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Balozi wa Uingereza leo alizotembelea timu za Simba kule Bunju na Yanga Jangwani, ilipofika aliulizia Makombe na Medali za Kimataifa, kule Bunju hakupata Kombe wala Medali bali Ahmed Ally akawa na lazi ya kumuelezea historia ya robo fainali na kufa kiume, alipoenda Jangwani akaonyeshwa Medali na Makombe.
View attachment 2799155
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo waliona aibu kumpelekea pale Msimbazi maana jengo zima limejaa matambara.
Aliyesema ni Utopolo FC hakukosea.Nimekuuliza swali we unatoa maelezo mengii. Hayo mashindano si hata wewe ulishiriki lakini ukaishia wapi? Unaitafuta heshima kwa roborobo while mwenzako ana medali kwa kucheza fainali bila kualikwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu aibu nimeona Mimi, haiwezekani ugeni mkubwa kama ule eti mnampeleka Balozi Kiwanja cha mazoezi tena Bunju huko aende kukutana na Wachezaji kama vile kaenda kutoa motisha au yeye ndio benchi la ufundi.View attachment 2799571
Lile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?Kwa hiyo waliona aibu kumpelekea pale Msimbazi maana jengo zima limejaa matambara.
Lile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Alishajibiwa kuwa ile ni viti maalumu hakuna qualifications zozote.Lile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?
Aliuliza.
1. Mbona mna makombe na medali halafu African Footbal hampo?
2. Mbona Simba hana medali wala makombe na AFL yupo?
Walivyocheza shirikisho walipata medali?Huwa hamna timu yoyote ya kuilinganisha zaidi ya Simba?
Kuna TP mazembe, Mamelod, Wydad, Al Ahly n.k
Una makombe, medali n.k halafu bado unateseka kuhusu Simba😁😁😁😁😁. USM ulger atasemaje?
Simba haina medali kwasababu msimu 2022-2023 haikucheza shirikisho
AFL lile ni bonanza ,ndio maana Ulaya walilikataa, na kuna uwezekano likafutwaLile swali alilouliza balozi mbona hamkujibu?
Aliuliza.
1. Mbona mna makombe na medali halafu African Footbal hampo?
2. Mbona Simba hana medali wala makombe na AFL yupo?
😁😁😁😁😁😁. Mnajua kujifarijiAlishajibiwa kuwa ile ni viti maalumu hakuna qualifications zozote.
Kama wewe timu bora 2022/2023 mbona haupo kwenye list,sio kitimu wala mchezaji huna anakushinda hata Malumo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mnajua kujifariji
Kuwa na medali maana yake wewe ni timu bora.
Timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2022-2023 zimecheza AFL.
Mbona Yanga haipo AFL pamoja na medali zake? Ndiyo ujue Simba ni timu bora Tanzania kuliko Yanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa hamna timu ya kujilinganisha tofauti na timu bora km Simba?
Timu yako ipo hapo?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mnajua kujifariji
Kuwa na medali maana yake wewe ni timu bora.
Timu bora zilizofanya vizuri msimu wa 2022-2023 zimecheza AFL.
Mbona Yanga haipo AFL pamoja na medali zake? Ndiyo ujue Simba ni timu bora Tanzania kuliko Yanga[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa hamna timu ya kujilinganisha tofauti na timu bora km Simba?
Msimu wa 2022-2023 kipindi Yanga anachukua medali.Walivyocheza shirikisho walipata medali?
Sawa.AFL lile ni bonanza ,ndio maana Ulaya walilikataa, na kuna uwezekano likafutwa
Sawa. Endelea kujifarijiTimu yako ipo hapo?View attachment 2800200
Huo msimu unaousema wewe hukuondoka hata na Kombe moja wala medali sio ligi ya ndani wala Kimataifa.Msimu wa 2022-2023 kipindi Yanga anachukua medali.
1. Unafikiri kati ya Simba na Yanga, nani alikuwa bora?
2. kwani kwenye timu bora na zilizofanya vizuri msimu wa 202-2023 ambazo zinatakiwa zicheze AFL, Yanga haipo?
Medali zako za shirikisho zimekusaidia nini wakati AFL haupo