Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kuna timu moja bora ya Simba tu ambayo mnaweza kuilinganisha nayo?Kama wewe timu bora 2022/2023 mbona haupo kwenye list,sio kitimu wala mchezaji huna anakushinda hata Malumo.
Nani kajilinganisha nanyi?Kuna timu moja bora ya Simba tu ambayo mnaweza kuilinganisha nayo?
Nilitegemea kuwa na medali mtajilinganisha Al Ahly, Mamelod n.k
Kila siku ni Simba tu. Mbona huwa mjilinganishi na Azam au Ihefu?
Sawa.Huo msimu unaousema wewe hukuondoka hata na Kombe moja wala medali sio ligi ya ndani wala Kimataifa.
Huu uzi wako, ungeongelea Yanga tu.Nani kajilinganisha nanyi?
Elewa kwanza uzi ndio uongeeSawa.
Kwanini mnajilinganisha na Simba na siyo USM Ulger au Wydad?
Hakuondoka na hata medali wala kombe na bado unajilinganisha na Simba. Huoni kama mnateseka sana?
Umeulizwa nani kajilinganisha na nyinyi?Huu uzi wako, ungeongelea Yanga tu.
Yanga bila Simba, hainogi
Kipindi Yanga inachukua medali za shirikisho, Simba haina medali wala kombe lakini ni timu bora kuliko Yanga. Simba ya 8 na Yanga ni ya 18.
Kauliza swali, hamjamjibu. Jibu na weweElewa kwanza uzi ndio uongee
Balozi Kapita kote team zote mbili
Kwa simba kaambulia porojo na kwa yanga kaoneshwa makombe na medali..
Full stop kuchagua team gani kubwa
Unajisikiaje timu ya Yanga ina medali na makombe haipo African Footbal League?Umeulizwa nani kajilinganisha na nyinyi?
Enyimba Ana makombe mangapi? Kwenye rank ni wangapi?Kauliza swali, hamjamjibu. Jibu na wewe
Mbona mna makombe na medali hampo African Footbal League?
Angalia uzi unasemaje. Ulitakiwa usomeke huyo Balozi kaenda kutembelea Club ya Yanga.Umeulizwa nani kajilinganisha na nyinyi?
Enyimba yupo huko kashiriki ana makombe mangapi?Unajisikiaje timu ya Yanga ina medali na makombe haipo African Footbal League?
Basi mpaka tushajua unasumbuliwa na kihoro na chukiAngalia uzi unasemaje. Ulitakiwa usomeke huyo Balozi kaenda kutembelea Club ya Yanga.
Timu ina medali na makombe na African Footbal League haipo.
Hizo medali na makombe ya mchongo.
Mbona wewe uliyeshiriki Ndondo Cup haupo?Enyimba Ana makombe mangapi? Kwenye rank ni wangapi?
Mbona kashiriki hilo bonanza?
Nimeshajua huna unachojua ila ushabiki Oya Oya basiMbona wewe uliyeshiriki Ndondo Cup haupo?
Enyimba amekuzidi uwezo
Upo Champion League umuonee kihoro na chuki, timu inayocheza shirikishoππππBasi mpaka tushajua unasumbuliwa na kihoro na chuki
Yanga anacheza shirikisho?Upo Champion League umuonee kihoro na chuki, timu inayocheza shirikishoππππ
Nitakuwa nina matatizo makubwa sana
Huwa mnaona medali za shirikisho huwa ni big deal sana?πππππNimeshajua huna unachojua ila ushabiki Oya Oya basi
Endelea kukaza fuvu hapa
ππππππYanga anacheza shirikisho?
Mzee tamthilia ndio zinakufaa
Kwaheri
Mlicheza shirikisho mkaishia wapi?Huwa mnaona medali za shirikisho huwa ni big deal sana?πππππ
Najua mpira sana. Ndiyo maana huwa mnajifariji na medali za shirikisho.
Haujui mpira ndiyo maana utasikia watuoneshe medali. Jibu!.
Msimu wa 2022-2023 Simba haikucheza Shirikisho