KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Mengine kasema
- Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha
- Kasema misaada wanaitumia vizuri
- Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya
- Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote
- Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na kuona lolote wanaalofanya na kufikiria wao ni sahihi atakama watu wanaona vinginevyo
- Kasema watu zaidi ya 1000 wamekamatwa wakiandamana kupinga kupelekwa vitani