Vita anavyopigana Urusi,angekua ndio anapigana Marekani Sasa hivi angekua amekwisha kimbia.
Ndugu.
Marekani Uingereza,ujerumani Ufaransa na NATO wengine walishindwa kuwamaliza watalaban.waliamua kuondoka mmoja baada ya mwingine.
Na mwisho kabisa Marekani akawa wa mwisho kabisa kuondoka Afghanistan kwa kukimbia na kuacha silaha kuwalimbia watalaban.
Maana yangu Watalaban wakiwa peke Yao wakitumia TU Ak 47 bila mizinga,vifaru,ndegevita,melivita , Satellite ICBM wala hawakua na Hela lkn waliwakimbiza wa USA.
Urusi hapo Ukraine inapigana na nchi tajiri zote Kubwa hapa Duniani ukitoa Japan TU.zenye majeshi Bora kabisa ,majasusi Bora kabisa.
Wakati huohuo Urusi ikiwa imewekewa vikwazo vya kufa mtu vya kiuchumi.lkn imeweza kuwadhibiti na Sasa wanaongea TU bila kuingia vitani moja kwa moja.wakati waliwahi kuingia vitani moja kwa moja huko Libya,Syria kabla hawajafukuzwa na urusi,Somali kabla hawafukuzwa na Akina Gen Mogan,Gen Mohamed Farah Aideed,waliingiza Iraq na vijisehemu vingine duniani kama Panama.
Utake usitake Urusi ni miamba kwelikweli.
Tokea Dunia hii iumbwe Marekani hajawahi kupigana na nchi yenye Nguvu kiwango Cha Ukraine.
Ukraine Ina tech,Ina viwanda vya aina zote,viwanda vya silaha na rasilimali chungu mzima.
Ukraine inapewa silaha Kali Kila siku,inapewa pesa Kila siku.
mfano Juveline,Himers na nyingine nyini kutoka nchi karibu zote za west achilia mbali NATO ili kuikabili NATO.
Marekani ilidhibitiwa kibabe na Japan peke yake mwisho wa siku wakaona hawana namna isipokua kuishushia Japan mabomu ya nyukilia.
Hata Vietnam ya Leo Haina uwezo kama iliyonayoukraine ya Leo.