Balozi wa Ukraine UK: Putin ni muoga na ameshindwa vita ndo maana anatoa Vitisho vya Nyuklia

Mtu ambaye hawezi ku manage supply chain yake atashindaje vita, USA ni gwiji wa mapambano na utaalamu wake ndio unaozichoma hizo stock za silaha za Russia.
 
Bwege tu Putin anatishia nyau nyukilia nani? kwani nani hana? Nchi zote za Ulaya zina nyukilia

Mbona alitishia ohh nchi inamsaidia Ukraine zitakiona cha mtema kuni wanamsaidia Ukraine nchana kweupe na hana cha kufanya zaidi ya Askari wake kukimbia makombora ya Himars
 
Putin akili kubwaa sana ngojeni kura zipigwe na tupate uhalali wa kuyalinda hayo maeneo na watu wake ndipo mtakapojua kuwa hamjui kitu
 
Wewe hakuna unachofahamu, unafahamu kwamba Urusi alikimbia hiyo hiyo Afghanistan unayoisema mwaka 1989 au ulikuwa bado hujazaliwa.
 

Muingereza tena 🤣 tangu lini muingereza akamsapoti mtu ambae anaungwa mkono na mataifa/watu anaojitambua, tangu alivyouawa saddam na gaddafi, ni upumbafu na ulimbukeni kuwasapoti hawa innocent killers. Olenimala nkoi?
 
Wewe hakuna unachofahamu, unafahamu kwamba Urusi alikimbia hiyo hiyo Afghanistan unayoisema mwaka 1989 au ulikuwa bado hujazaliwa.

Huwa unamsapoti sana marekani, why? wewe ni house boy wao??
 
Sasa kama jirani tu kadogo amekashindwa ndo ataweza kupigana vita vya mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…