Balozi wa Umoja wa Ulaya Christine Grau afika JamiiAfrica kuaga rasmi

Balozi wa Umoja wa Ulaya Christine Grau afika JamiiAfrica kuaga rasmi

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,249
Reaction score
5,747
Julai 17, 2026, JamiiAfrica ilitembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.

Balozi Christine alianza rasmi majukumu yake nchini Tanzania, 1 September 2023.

1.png
2.png
3.png
4.png
5.png
 
Mimi huyo jamaa aliyetabasamu anaangalia camera.
 
Sasa Wale Jamaa Wa Kuminya Uhuru Wa Habari Wananuna Mpaka Wanataka Kupasuka Kwa Gas ⛽️ Tumboni
 
Back
Top Bottom