Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mungu Ibariki JF[emoji173][emoji173][emoji173]Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na JF mitandaoni , kwamba Vigogo hao wa EU na Ujerumani wametinga kwenye Ofisi za JamiiForums na kubadilishana mawazo na Wafanyakazi wa Mtandao huo
Habari zaidi hii hapa
View attachment 2919464View attachment 2919468View attachment 2919469View attachment 2919470View attachment 2919472View attachment 2919473
AminaMungu Ibariki JF[emoji173][emoji173][emoji173]
Hapa Sasa📌📌📌vizuri.
ila siku hizi wageni wengi wamekuwa na hamasa na Jf tofauti na hapo nyuma vile haikuwa imepokelewa na wengi kwa mtazamo wa positive, umakini unahitajika kwani wengine miongoni mwao hawachelewi kupenyeza agenda zao.
Hapo ni English tupu soken, halafu anatoka chawa anasema Kiswahili lugha mama tuachane na Kiingereza, ni ukoloni.Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na JF mitandaoni , kwamba Vigogo hao wa EU na Ujerumani wametinga kwenye Ofisi za JamiiForums na kubadilishana mawazo na Wafanyakazi wa Mtandao huo
Habari zaidi hii hapa
View attachment 2919464View attachment 2919468View attachment 2919469View attachment 2919470View attachment 2919472View attachment 2919473