The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Unaweza ukakuta hata Ni muathirika ana force asambazeYaani upele huwapataga wasio na kucha aiseee....😋
Taarifa bila picha na ushahidi ni uchonganishi.
Nawasikiaga vijana wanasema kwamba skuizi wanaogopa Presha na Sukari tu....😜Unaweza ukakuta hata Ni muathirika ana force asambaze
hii nayo inatisha..!mmhUnaweza ukakuta hata Ni muathirika ana force asambaze
Tena alitaka threesomesKabisa hao jamaa hawakusoma cuba....balaozi alikuwa anataka wampelekee moto.
Kweli hao mabwege sana. Fursa imewapita
Vijana wa Daslam kama nawaona. Wangefurahi hatarijiulize wangekuwa wabongo wana hiyo jeuri ya kukataa zaidi wangefurahia uchawa na kuiona mbunye ya balozi
Alafu mi naambiwa babu yangu chimbuko lake ni zambia et daahWazambia wana vituko aisee.Yule mwingine bwana jela kafungulia wafungwa wakale mwaka mpya.Huyu balozi anawashikisha vuzi juniors.
Unamaanisha ingekuwa wewe ungemnyoa!!! Na Moto ungempelekea!!Yaani upele huwapataga wasio na kucha aiseee....😋
Hao wafanya kazi..Aasalaleeee hapo Poor Brain analaani vikali na kuona hao jamaa ni mandezi, ndgu yangu Poor Brain angeipata hiyo nafasi huyo bibi asingemaliza sentensi tayari vifaa vya kunyolea vipo mkononi.
Akatafute bodaboda wamnyoe hafu wamalizie na HAPPY ENDINGSasa balozi kama Vuwdh linamwasha na ni mjane afanyaje😂😂😂