Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Mazuba Monze.
images (25).jpeg
 
Aasalaleeee hapo Poor Brain analaani vikali na kuona hao jamaa ni mandezi, ndgu yangu Poor Brain angeipata hiyo nafasi huyo bibi asingemaliza sentensi tayari vifaa vya kunyolea vipo mkononi.
Hao wafanya kazi..
Ikitokea wamekufa ni moja kwa moja wanaenda motoni..

Kwanza hawana akili alafu hawajitambui aiseeeee...

Nakumbuka nishawahi pata hiyo tenda sema ilikua kumpiga picha yule ant alikua anapigo za ajabu sana..
Nilipiga picha na nikapiga tena
 
Back
Top Bottom