Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.

Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.

Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena

View: https://www.instagram.com/p/DEef2NttRWs/?igsh=MWRhdW1yemJiNjU3Mw==

Ngoja nikafanye background check
 
Inamaana alikua anataka atombwh na hao vijana??? Daaah tulipofika sio kabisa...

...Ni hayo tu!!!
 
Hao wafanya kazi..
Ikitokea wamekufa ni moja kwa moja wanaenda motoni..

Kwanza hawana akili alafu hawajitambui aiseeeee...

Nakumbuka nishawahi pata hiyo tenda sema ilikua kumpiga picha yule ant alikua anapigo za ajabu sana..
Nilipiga picha na nikapiga tena
Ha ha ha kwa hiyo ulipiga picha tu na amri ya 6 hukuvunja ?
 
Back
Top Bottom