Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini afukuzwa kazi baada ya kuamuru Wafanyakazi wake wa Kiume wamnyoe nywele sehemu za siri

Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.

Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.

Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena

Je alitak akunyolewa mavuzi kwa kiwembe au shaver?
 
Hapo tunasema ni matumizi mabaya ya madaraka, elimu na akili.
Ubinadamu ni kazi...
Uchawi upo kila mahali, na mchawi si lazima apae bali matendo yake ya ajabu ajabu kama hayo yanayokiuka mila na desturi za kiafrika
alitaka wamchezee kinembe
 
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.

Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa kiume licha ya wafanyakazi hao kukataa na nakueleza kuwa siyo sehemu ya majukumu yao ya kuwanyoa Mabalozi hasa sehemu zao za siri.

Baada ya wafanyakazi hao kutotii maagizo hayo Balozi huyo aliamua kuwafuta kazi Wafanyakazi hao na kulifikisha swala hilo katika Wizara ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

My Take
Ubinadamu na Utu havipo tena

Screenshot_20250107-065614.jpg
Screenshot_20250107-065836.jpg
 
Mazali kama hayo kwa nini huwa hayatuangukii watu kama mimi?

Maagizo kama hayo ni ya kutekeleza kwa haraka sana bila kuuliza hata swali moja!
Ukizingati hana mume, mshangazi flani diplomat.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
kiburi cha madaraka

sema nimependa hapo wafanyakazi walipo kataa na kumwambia sio majukumu yao

jiulize wangekuwa wabongo wana hiyo jeuri ya kukataa zaidi wangefurahia uchawa na kuiona mbunye ya balozi

uzee nao unakujaga na vituko vyake asa lengo la balozi ilikuwa ni nini
Alijua wakishikashika kitumbua lazima watataka, wakila naye kala. Itakuwa wamemsaidia kumtoa 'kiraro'.
 
Hao wafanyakazi ni wapuuzi sana, walishindwa tu kuelewa ni kazi gani ndio hasa balozi alitala waifanye, hiyo kunyoa ilikua ni lugha ya kistaarabu
 
Unyanyasaji wa kingono/mapenzi sehemu za kazi /maofisini upo sana. wakubwa kuwatumia walio chini yao kingono/mapenzi ila kwa hapa bongo hakuna wenye ujasiri wa kuwaumbua viongozi wanao watumia kimapenzi.
 
Lakini mmejiuliza na huo unene sehemu zake za siri kule chini anazifikiaje...

Wanawake wangi wanene wanakuwa na changamoto kufanya usafi sehemu ambazo unahitaji kujikukunja kuzifikia ikiwemo kule KUSINI KATI
Hivyo usafi kwao inakuwa changamoto kubwa
 
Wazambia hawana mambo ya ajabu, njoo bongo sasa mpk mtu tunayemtegemea km taifa anatimba na pajama bila kuitwa 😹😹
 
Hyo bahat Ingenikutana ..mm ningeinyoaa yani iwe kipara kama kile chaenzi ya ndugai
 
Back
Top Bottom