Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka uwe wa wakuu wa mikoa mingapi?Mwaliko huu mbona ni wa mkuu wa mkoa mmoja?
Ndio kiongozi anatakiwa kuwa mjanja kutafuta timu yake ya ushindi.huyu jamaa lazima atakuwa ameajiri wapambe vichwa anaogawana nao posho wanaompa mawazo ya kuendelea kufanya kazi vizuri.
ukweli ni kwamba anafanyakazi vizuri japo ni kwamba HAKUBALIKI bila sababu kwa maneno mengine hana KIBALI na watu wengi. AMEKATALIWA
kwa mawazo yangu na sio ya TAKWIMU
Marinda bin kibogaWaziri wa Viwanda anatafuta wawekezaji kwa ajili ya nchi nzima, hata Rais anaweza kufanya hivyo. Mkuu wa mkoa pia ana jukumu la kuleta maendeleo KWENYE MKOA WAKE na moja ya njia za kuleta maendeleo ni kutafuta wawekezaji. Akishampata huyo mwekezaji kama atawekeza kwenye viwanda ni dhahiri lazima apitie wizara ya viwanda na waziri husika.
Unaweza kutizama hilo kwa mtazamo hasi au chanya na ukapata majibu.
Dada jitambue!! Hata wewe unaweza kutafuta mwekezaji siyo kazi ya Waziri wa Viwanda tu!! Au unalako jambo??!!Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
[emoji2] [emoji23] mmmmmmñhhhhh yule mfalme alimtuma kijakazi frontline na kubaki na wake ....watu mnajua kuunganisha visa...purely a fictionItakua kaenda kurekebisha mambo ya mzee baada ya taarifa za malaika kujifungua kumfikia mwenye mali huko China, ukizingatia bashite ni mwandani kabisa hii itakua safari ya kifamilia.
Sasa wewe ulitaka tuendelee kuishi kwa misaada mpaka lini? Watu wawekeze nchi ijisimamie kiuchumi japo kwa asilimia kadhaa.Wanajiandaa Trump kuondoa misaada kwa sababu hawajam support UN kura ya Jerusalem.
Tanzania itaweza kukosa mpaka $ 525 m kwa mwaka.
Tanzania ni moja ya nchi zinazosaidiwa sana na Marekani.
Ujinga tunajitakia. .tunakosa $ 525000000× 2260Wanajiandaa Trump kuondoa misaada kwa sababu hawajam support UN kura ya Jerusalem.
Tanzania itaweza kukosa mpaka $ 525 m kwa mwaka.
Tanzania ni moja ya nchi zinazosaidiwa sana na Marekani.
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Wapi nimesema nataka muendelee kuishi kwa misaada?Sasa wewe ulitaka tuendelee kuishi kwa misaada mpaka lini? Watu wawekeze nchi ijisimamie kiuchumi japo kwa asilimia kadhaa.
BIG UP MAKONDA nyie wapiga mboyoyo tushawachoka. Kila kitu kwenu kibaya.
Ndani ya familia kama kaka anao uwezo wa kwenda kutafuta na kuleta maendeleo muache aende, sio mnakaa tu mnasubiri hadi baba ahangaikie kila kitu.
JIONGEZE UONGEZEWE
....pia ni adui kwa wana Ukawa !Dada sky huyo ni mtoto wa mfalme hao mawazr wengne ni mahouse boy na mahouse girl wa mfalme
.....ukawa pasua kichwa !Prince DAB, mkuu wa wakuu wa mikoa
RC anatafuta wawekezaji.. ?
Waziri wa viwanda yupo busy kuhamisha wizara
Tz yetu hiii
Waziri wa viwanda aligawa malengo ya kutafuta na kuwekeza viwanda kwa kila Mkoa, Makonda anatekeleza maelekezo kwa vitendo.Waziri wa Viwanda anatafuta wawekezaji kwa ajili ya nchi nzima, hata Rais anaweza kufanya hivyo. Mkuu wa mkoa pia ana jukumu la kuleta maendeleo KWENYE MKOA WAKE na moja ya njia za kuleta maendeleo ni kutafuta wawekezaji. Akishampata huyo mwekezaji kama atawekeza kwenye viwanda ni dhahiri lazima apitie wizara ya viwanda na waziri husika.
Unaweza kutizama hilo kwa mtazamo hasi au chanya na ukapata majibu.
Si mpaka awe na kipajiHahahah siku akipewa uwazir ataenda kusahisha mitihani ya darasa la saba yeye mwenyewe..hahah like father like son
Comment yako inaeleza kichwa chako kimejaa nin. Ijumaa KarimMarinda bin kiboga