Balozi wetu China ametoa ugeni kutoka nyumbani

Itakua kaenda kurekebisha mambo ya mzee baada ya taarifa za malaika kujifungua kumfikia mwenye mali huko China, ukizingatia bashite ni mwandani kabisa hii itakua safari ya kifamilia.
 
Itakua kaenda kurekebisha mambo ya mzee baada ya taarifa za malaika kujifungua kumfikia mwenye mali huko China, ukizingatia bashite ni mwandani kabisa hii itakua safari ya kifamilia.
Umenena mkuu
 
Ndio kiongozi anatakiwa kuwa mjanja kutafuta timu yake ya ushindi.

Unatafuta vichwa vyenye ubunifu vinakushauri mambo makubwa.
 
Wanajiandaa Trump kuondoa misaada kwa sababu hawajam support UN kura ya Jerusalem.

Tanzania itaweza kukosa mpaka $ 525 m kwa mwaka.

Tanzania ni moja ya nchi zinazosaidiwa sana na Marekani.
 
Marinda bin kiboga
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Dada jitambue!! Hata wewe unaweza kutafuta mwekezaji siyo kazi ya Waziri wa Viwanda tu!! Au unalako jambo??!!
 
Itakua kaenda kurekebisha mambo ya mzee baada ya taarifa za malaika kujifungua kumfikia mwenye mali huko China, ukizingatia bashite ni mwandani kabisa hii itakua safari ya kifamilia.
[emoji2] [emoji23] mmmmmmñhhhhh yule mfalme alimtuma kijakazi frontline na kubaki na wake ....watu mnajua kuunganisha visa...purely a fiction
 
Wanajiandaa Trump kuondoa misaada kwa sababu hawajam support UN kura ya Jerusalem.

Tanzania itaweza kukosa mpaka $ 525 m kwa mwaka.

Tanzania ni moja ya nchi zinazosaidiwa sana na Marekani.
Sasa wewe ulitaka tuendelee kuishi kwa misaada mpaka lini? Watu wawekeze nchi ijisimamie kiuchumi japo kwa asilimia kadhaa.
BIG UP MAKONDA nyie wapiga mboyoyo tushawachoka. Kila kitu kwenu kibaya.
Ndani ya familia kama kaka anao uwezo wa kwenda kutafuta na kuleta maendeleo muache aende, sio mnakaa tu mnasubiri hadi baba ahangaikie kila kitu.
JIONGEZE UONGEZEWE
 
Wanajiandaa Trump kuondoa misaada kwa sababu hawajam support UN kura ya Jerusalem.

Tanzania itaweza kukosa mpaka $ 525 m kwa mwaka.

Tanzania ni moja ya nchi zinazosaidiwa sana na Marekani.
Ujinga tunajitakia. .tunakosa $ 525000000× 2260
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?

Ule utaratibu wa safari za nje kwa watumishi wa SERIKALI kuratibiwa na kubarikiwa na ofis kuu bado upo ?
 
Wapi nimesema nataka muendelee kuishi kwa misaada?

Unajua kusoma?
 
Kujitumaa Duniani kuzuri sana, ile ya kusubiri uambiwe naona Makonda hana, anaonyesha Initiative, anatumia weledi wake, hongera zake..
Wenzake wako busy na mikutano ofisini, vyoyozi na chai, yeye yuko field, kila kukicha anatafuta cha kuboresha kwenye Jiji lake, naona hili linawakera wengi, ila itabidi mkubali tu, jamaa mchapa kazi...
 
Waziri wa viwanda aligawa malengo ya kutafuta na kuwekeza viwanda kwa kila Mkoa, Makonda anatekeleza maelekezo kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…