Balozi wetu China ametoa ugeni kutoka nyumbani

Tufanyeje hivi,wawekezaji watakaoletwa na huyu bwana tuwakatae,sawa! Anajidai sana.Huduma zake tuzigomee.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Mange tu huyu
 
Dada jitambue!! Hata wewe unaweza kutafuta mwekezaji siyo kazi ya Waziri wa Viwanda tu!! Au unalako jambo??!!
Pata picha wakuu wa mikoa 15 wapo nje ya nchi wanatafuta wawekezaji kwa gharama za mabalozi wetu
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Duh!
 
ni wivu tu wa wabongo wengi njaa kali acheni apige kazi issue ya vyeti iliisha
Mmh wala si kuwa tuna njaa kali na hili la vyeti bado tunalikumbuka navtutskwenda nalo tu. Hakuna sheria us mmoja na nyingine kwa wote
 
Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
Waziri Mkuu ni mmoja, Waziri ni mmoja, Mkuu wa Mkoa ni mmoja Tanzania, ni mkuu wa Mkoa wa DAR, wengine ni vikaragosi tu!
 
DAB anaingia popote pale ambapo Baba yake anataka aingie kisha kumpaka mafuta hadharani, igeni utendaji wa mfojaji wa vyeti Bashite! UPUUZI MTUPU!!!

Mkuu wa mkoa wa Dar yuko safarini nchini China kutafutacwawekezaji. Mkuu huyo ni mgeni rasmi wa balozi Kairuki na anapewa heshima zote. Waziri wa viwanda majukumu yake ni nini kama mkuu wa mkoa anakwenda kutafuta wawekezaji?
 
DAB anaingia popote pale ambapo Baba yake anataka aingie kisha kumpaka mafuta hadharani, igeni utendaji wa mfojaji wa vyeti Bashite! UPUUZI MTUPU!!!

Mkuu anatumia kodi yetu kizungushi msambwanda China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…