Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, Mhe. James Tsok Bot aliemtembelea Ubalozini tarehe 17 Septemba, 2024.
Katika mazungumzo yao wamezungumzia maeneo kadhaa ya ushirikiano mintarafu uwakilishi wao nchini Comoro.