Naona mabalozi wanataka tu ku- play victims wakati sheria ziko wazi.
TRA wanasimamia sheria za kodi, kama sheria inasema msamaha wowote wa kodi ama taz concession agreements za wawekezaji wa nje na TIC lazima utangazwe kwenye gazeti la serikali, TRA wameomba hizo details huna, wanakuachaje? Kama ni wewe tu umeamua kujiandikia watajuaje?
Wazungu hao ni wanafiki, wao kwao hawana misamaha wala msalia mtume kwenye kodi, watu wanadaiwa kodi hata za miaka 100 iliyopita, sisi hawataki tukusanye kodi ili tuwe omba omba.
Mbaya zaidi TRA wanaibuki na kodi kutoka hewani, wanakupatia computations zote kutoka kwenye vitabu vyako vya mahesabu.
Nachokiona nchi hii kuna mikakati ya maksudi ya watu hawataki kulipa kodi.
Samia vile anautaka urais kwa nguvu, yuko tayari aharibu nchi yetu kwa namna yoyote ile ili tu awe rais mwakani.
Wazungu wanataka waje bongo wapige hela waondoke.