Kwamba haya yote yanayotokea ni anatafutwa mtu mmoja tu?, Yahani mmoja tu.....ndo sarakasi zote hizi?????Sema ukifatilia na kusoma haya mambo kwa makini kuanzia mgomo n.k kuna mtu / watu wapo kwenye mission kuhakikisha Kidata anatoka kwenye nafasi yake, mengine unaona ni roho mbaya tu kwa jamaa.
Tatizo anapenda sana rushwaKidatta imemshinda TRA iko shida kubwa hii Taasisi.Wake up
Best from where, I used to like him not before kufanya rushwa ya waziwazi na kunisababoshia hasara ya maishaKwa unyenyekevu tumekuwa tukishauri..
Fuatilieni shauri zetu tulio wadogo na tusiostahiri..
Pamoja na rushwa kukithiri Kwa maofisa wengi wa TRA.. Tatizo sio watu..CG..Ni Mfumo/sheria/Kanuni..
I think we have one of the best Commissioner General..
Tufumue sheria Za kodi,Mamlaka iboreshwe..
Mambo ya awamu ya 5 yamerudi tena.Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
NB
Nimepata hii barua inbox
Wewe wasema!!Duh
Hao wawekezaji waende Kituo cha Uwekezaji wakalalamike kwa Sababu Balozi zao hazitawasaidia lolote
Labda sheria kandamiziTatizo ni sheria, TRA wanafuata sheria.
Sawa mkuuKwamba haya yote yanayotokea ni anatafutwa mtu mmoja tu?, Yahani mmoja tu.....ndo sarakasi zote hizi?????
Inaniwiw ngumu kuamini.
Kwahyo wew hauoni matatizo ya mfumo wa kodi TzSema ukifatilia na kusoma haya mambo kwa makini kuanzia mgomo n.k kuna mtu / watu wapo kwenye mission kuhakikisha Kidata anatoka kwenye nafasi yake, mengine unaona ni roho mbaya tu kwa jamaa.
Wewe utakuwa wale wale wakaao vitini kusubiri pesa iingie mlangoni halafu unamkata mtu "cha juu".Naona mabalozi wanataka tu ku- play victims wakati sheria ziko wazi.
TRA wanasimamia sheria za kodi, kama sheria inasema msamaha wowote wa kodi ama taz concession agreements za wawekezaji wa nje na TIC lazima utangazwe kwenye gazeti la serikali, TRA wameomba hizo details huna, wanakuachaje? Kama ni wewe tu umeamua kujiandikia watajuaje?
Wazungu hao ni wanafiki, wao kwao hawana misamaha wala msalia mtume kwenye kodi, watu wanadaiwa kodi hata za miaka 100 iliyopita, sisi hawataki tukusanye kodi ili tuwe omba omba.
Mbaya zaidi TRA wanaibuki na kodi kutoka hewani, wanakupatia computations zote kutoka kwenye vitabu vyako vya mahesabu.
Nachokiona nchi hii kuna mikakati ya maksudi ya watu hawataki kulipa kodi.
Samia vile anautaka urais kwa nguvu, yuko tayari aharibu nchi yetu kwa namna yoyote ile ili tu awe rais mwakani.
Wazungu wanataka waje bongo wapige hela waondoke.
Sijui hata kama shule ulienda.Wewe utakuwa wale wale wakaao vitini kusubiri pesa iingie mlangoni halafu unamkata mtu "cha juu".
TRA na Wizara yae ya Fedha hawana ubunifu, hawana maono kule waendako. malalmiko dhidi yao ni yae yale.
Ni ujinga kumtoza mtu(mfanyabiashara au mwekezaji) kodi ambayo ni zaidi ya mtaji wake wa jumla.
Nenda mbali zaidi kudai ni upumbavu, maana unachomwambia mtu hapo ni FUNGA BIASHARA USINIBUGUDHI!
Halafu haijulikani pesa zinaenda wapi?
Ngunguli vs Ngangali battle!!Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
NB
Nimepata hii barua inbox
Ripoti central police Jumatatu kwa mahojiano juu kukashifu mamlaka ya Chura kiziwi!🤣🤣🤣Yule mwenye mbukta wa Yanga hata haelewi yani
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
NB
Nimepata hii barua inbox
Tatizo kubwa la ninyi mnaosugua viti maofisini kwa makalio, hamjui kuwa wafanyabiashara hata kama hawakwenda shule they are smarter than you are.Sijui hata kama shule ulienda.
Nani amewahi kutozwa kodi ya elfu 20 wakati mtaji wake ni elfu 10?
Hivi unaelewa hata jinsi kodi inavyotozwa?
Wanajua kukusanya zaidi, kuliko kuwezesha kutengeneza fedha Ili iwe halali kwao kukusanya...Hii ni tabia ya watendaji wote TanzaniaWewe utakuwa wale wale wakaao vitini kusubiri pesa iingie mlangoni halafu unamkata mtu "cha juu".
TRA na Wizara yae ya Fedha hawana ubunifu, hawana maono kule waendako. malalmiko dhidi yao ni yae yale.
Ni ujinga kumtoza mtu(mfanyabiashara au mwekezaji) kodi ambayo ni zaidi ya mtaji wake wa jumla.
Nenda mbali zaidi kudai ni upumbavu, maana unachomwambia mtu hapo ni FUNGA BIASHARA USINIBUGUDHI!