Balthazar Engonga ahukumiwa kifungo Cha Miaka 18 jela

Kuyafanya yale matukio lazima uwe na mawe ya kutosha, ndio maana alivunja rekodi.
 
I still repeat

No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
 
 
Swali, hela za kuwachakaza hao walimbwende alikuwa akitoa wapi?
 
Sema nchi zingine wako vzr, wanapenda haki, ingelikua hapa bongo huyu angekufa kimiujiza tu na wangesingiziwa wasiojulikana.
 
I still repeat

No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
 
Balitazar ahukumiwa miaka 18 jela kwa kosa la uhujumu uchumi (ufujaji wa mali za uma).

Ni mwanaume mmoja wa huko nchini Guinea ambaye video zake zilisambaa hapo nyuma kidogo zikimuonyesha akifanya mapenzi na wanawake tofauti 400.

Jamaa huyo alipelekwa mahakani kwa kesi hiyo na kuonekana hana hatia kwakuwa wanawake hao aliokuwa akifanya nao mapenzi ni watu wazima wenye akili timamu hivyo mahakama ilimuachia huru na hata alipopimwa afya yake ilionekana kuwa njema hakukutwa na maambukizi yoyote ya ugonjwa wa zinaa.

Swali la kujiuliza,ni kwanini tuhuma za ufisadi zije baada ya kula wake wa vigogo au kuvuja kwa video zake au ndo mkono wa serikali ukiuruka unatafutiwa kisa kingine?πŸ˜πŸ’‰
 

Attachments

  • IMG_20250703_202650.jpg
    222.4 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…