Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Uhuni ni uhuni tu hata ukifanyika mbinguniNilichompendea ni hakuwafanyia ufirauni alikuwa anaenda sehemu sahihi tu
Uhuni ni uhuni tu hata ukifanyika mbinguniNilichompendea ni hakuwafanyia ufirauni alikuwa anaenda sehemu sahihi tu
Wanawake watakuwa wameumia sana 😂😂Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka.
Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA milioni 910 na kupigwa marufuku kutoka ofisi ya umma wakati wa kifungo chake.
Hukumu hii haihusiani na kashfa ya awali iliyohusisha video za uchi zilizovuja mnamo Novemba 2024, ambayo aliachiliwa.
I mean no malice to nobody
View attachment 3391927
pole yakeDipresheni
aaallooooh naskiaga kuna wahuni waliotukuka kule balaastress za kuwaza nini kita mkuta jela
😂I still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
Kweli mbaka saizi hauwezi kutofautisha AI vids na real pole Sana!!Asilimia kubwa ya zile Video (Clip) zilikuwa ni AI
Duh,hata hao wake wa viongozi?Mkuu kumbuka jamaa alikuwa na faranga bilioni 1. Wanawake wachache sana kwa hapa duniani wangeweza kwepa huo mtego.
AsanteKweli mbaka saizi hauwezi kutofautisha AI vids na real pole Sana!!
Siyo unachangaa noni ni unashangaa nini, umekua mmbea hadi unakosea spelling , hamna tuzo ya kiherehere na umbea humu jf.Mbinguni unapewa 70 sasa unachangaa noni wewe mfuasi wa mudi boy
Ndo iko ivyo na sema uyo yake yalivuja tuNaamini wanaume ndo wapogo hivyo sema mwamba kajulikana tu
Anamaanisha et hakuwala tope au kinyeoUhuni ni uhuni tu hata ukifanyika mbinguni
Hapo wanawake ndo mtatoa michangoKosa lake halina dhamana? Tujitolee
Mi binafsi nipo tayari kabisaHapo wanawake ndo mtatoa michango
Uyu akija tz angepata mbususu za kutosha tena freeMi binafsi nipo tayari kabisa
Mbususu afu tatuUyu akija tz angepata mbususu za kutosha tena free