extraordinary cyb
Member
- Jun 30, 2025
- 80
- 88
Daah jela lazima wambaluze wahuni 😂😂
Mkuu kumbuka jamaa alikuwa na faranga bilioni 1. Wanawake wachache sana kwa hapa duniani wangeweza kwepa huo mtego.Jamaa miyeyusho, ila hata wale wake za watu wali zingua
ndebileDipresheni
Una hisi wote wali pewa hata 1m?Mkuu kumbuka jamaa alikuwa na faranga bilioni 1. Wanawake wachache sana kwa hapa duniani wangeweza kwepa huo mtego.
Ndagundebile
Siwezi kuhisi mkuu.Una hisi wote wali pewa hata 1m?
mjuba nitafsirie sentensi hizo kwa kiswahiliI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
I still repeatmjuba nitafsirie sentensi hizo kwa kiswahili
Nilichompendea ni hakuwafanyia ufirauni alikuwa anaenda sehemu sahihi tuIla mwana alijua kuwachakaza na hakuchagua mke wa ndugu au rafiki.. Ni moto tuu
Nusu albinoNdagu
Hahahaha😀😀😀Nilichompendea ni hakuwafanyia ufirauni alikuwa anaenda sehemu sahihi tu
Ila aliwambato balaa...Nilichompendea ni hakuwafanyia ufirauni alikuwa anaenda sehemu sahihi tu
Naamini wanaume ndo wapogo hivyo sema mwamba kajulikana tuIla aliwambato balaa...
Bado ninarudia, hakuna mwanaume asiyetahiriwa atazikwa maadam bado ninafanya kazi mochwariI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary
I still repeatBado ninarudia, hakuna mwanaume asiyetahiriwa atazikwa maadam bado ninafanya kazi mochwari
Si haki kwa kweli, tutafaidi wapi sinema kama zile tena?Balthazar Engonga Ebang ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela leo Julai 2, 2025, kwa ubadhirifu wa pesa za serikali, utajiri haramu na matumizi mabaya ya madaraka.
Inasemekana alifuja zaidi ya Faranga bilioni 1, huku sehemu yake ikiwa ni Faranga milioni 910. Pia alipigwa faini ya faranga za CFA milioni 910 na kupigwa marufuku kutoka ofisi ya umma wakati wa kifungo chake.
Hukumu hii haihusiani na kashfa ya awali iliyohusisha video za uchi zilizovuja mnamo Novemba 2024, ambayo aliachiliwa.
I mean no malice to nobody
View attachment 3391927