Bam(basic applied mathematics)

Bam(basic applied mathematics)

bam haina penalt.gs ndio inapenat. Kama hesabu unaziotea basi bam ni kukomaa.ila ukiidharau itakuzarau.jamaa yangu alipata hesabu a o level,akapiga pcb na kutoka na mswaki wa bam.bam ni yakawaida tu,kasolve sana.

Form five
calculating devices and computer package
functions
algebra(sequence and series,advanced simultinous eqns,
varies and proportions
differentiations
intergrations
applications of intregrations and differentiations
statistics

form 6
statistics
matrices
linear programing
logarithmetic functions and diff&intergratn
trigonometry
probabilities and fundamental principle of counting,combinatorial analysis

wengine wamalizie mbili nimezisahau

note:kwenye necta wanatoa maswali kumi tu na unafanya yote.

nashukuru sana mkuu,tunawahitaj watu kama nyie
 
kuna course mtu wa eca inakuwa mtelemko kwenye uchumi.ila kwa kozi za uchumi kama unajua basic mathematics na bam vizuri basi wote wa eca na egm wanafanya vizuri kwenye uchumi.pia inategemeana na uwezo wa mtu.maana kuna watu wametoka egm sio kwamba hesabu ndio wanaijua sana hapana,pia na si wote waliotoka eca wanajua account vizuri maana kuna watu tulitoka wote eca na semista ya kwanza tu chuo wame supp account .pia chuo hatuendi kwa historia kabisa,maana kuna watu wametoka na one kali kuanzia olevel hadi advance na a za hesabu na english lakini chuo wana supp kama kawa tu.

nashukuru sana kwa ushaur wako mzuri
 
Da leo watu waandika point tupu.. kumbe akina mpiga msuli walikua wanachafua jukwaa.. mmeandika kama wasomi kwakweli hongera
 
Back
Top Bottom