Bamaga:pale ni sinza,mwenge au kijitonyama?

Bamaga:pale ni sinza,mwenge au kijitonyama?

pale ni kinyama.wewe ushawahi sikia bamaga ya mwenge?mia
 
Pale ni Mikocheni, kwani chuo cha ustawi wa jamii wana refer kama kipo wapi.
 
Bamaga ni mpaka Kijitonyama (Ustawi wa Jamii), Mikocheni (TBC na NECTA) na Mwenge (Kebbys Hotel). Na Afrika Sana ni mpaka wa Kijitonyama, Sinza na Mwenge.
 
Bamaga ni Bamaga hivyohivyo,
Mwenge inashia Maryland Bar

Huijui mwenge usidanganye. kwanza nikusaidie kuna mwenge NHC, kuna Mwenge magorofani (ya Jeshi na ya TRA ambayo zamani yakiitwa ya EAC) na ya mwisho ni mwenge kijijini kwa hiyo nyuma ya Bamaga ni mwenge kijijini hivyo basi bamaga ipo mwenge na Afrika sana ipo mwenge zamani ikiitwa ushirika (ofisiza wanaushirika wa mwenge kijijini)
 
We ndo mgeni kweli BAMAGA ni mpk kati ya mwenge sinza na mikocheni au unafikiri bamaga ni baa
 
We ndo mgeni kweli BAMAGA ni mpk kati ya mwenge sinza na mikocheni au unafikiri bamaga ni baa

Ahahahahaa unanichekesha mkuu kama miaka yako ni chini ya 35 una haki ubishe. mkuu unaijua Nyumba namba moja hapo mwenge kijijini ni ipi? kwa nini hiyo barabara ikaitwa shekilango? Hiyo bamaga inajegwa nipo hapo. Je unajua hizo nyumba hapo nyuma ya bamaga zina mabomba ya akiba? kiasi kwamba hata wanaokaa humo wengine hawalijui hilo na kwenye mabomba wengi wamepanda migomba kwa kutokujua kama wewe? nipo ambayo tulikuwa tukiishi na wakimbizi wa South Afrika unaijua hiyo? hiyo ndio mwenge ninayoiongelea mimi sio hiyo yako iliyoota magorofa kama uyoga.
 
We ndo mgeni kweli BAMAGA ni mpk kati ya mwenge sinza na mikocheni au unafikiri bamaga ni baa

Acha uongo wa kitoto we mpita njia. Bamaga ipo mwenge na mwenge ipo kijitonyama. Mpaka wa Sinza upo Mori. Hutaki unaacha.
 
Acha uongo wa kitoto we mpita njia. Bamaga ipo mwenge na mwenge ipo kijitonyama. Mpaka wa Sinza upo Mori. Hutaki unaacha.

Kwan bamaga ni eneo au jengo hebu lete ufafanuzi naiman64
 
Last edited by a moderator:
Pale ni Mikocheni, kwani chuo cha ustawi wa jamii wana refer kama kipo wapi.

Acha uchizi ndugu. Hivi unajua kama ofisi za TTCL,millenium tower na kijiji cha makumbusho kama vipo kijitonyama? Sasa iweje tsn bamaga iwe mikocheni? Kama hujui mambo bora ukanyamaza. Bamaga ipo mwenge na mwenge inapatikana ndani ya Kijitonyama. Hutaki unaacha.
 
Title deed za pale etc zinaonyesha ni kijitonyama....

Eneo hilo lote lilikuwa knyama kabla ya kugawanywa mkuu ndio maana hata bill za maji na umeme ziliandikwa/zimeandikwa hivyo
 
Bamaga ipo mwenge, mwenge ni kitongoji na kijitonyama ni kitongoji, lakin kijitonyama pia ni kata ambayo mwenge ipo ndani yake
 
mkuu mikocheni ni upande wa pili wa barabara ya bagamoyo.mia

Hata upande wa pili wa barabara ya bagamoyo kuna sehemu ya Kijitonyama,mlalakuwa na makumbusho.

Kwahiyo we ukiulizwa ofisi za usalama wa taifa ziko wapi? Utajibu mikocheni,badala ya Makumbusho? Teheteheteh
 
Back
Top Bottom