DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Bongo huenda tuna watu wenye hela nyingi kuzidi hawa mabilionea wetu wanaoshinda kwenye vioo na camera.
Sahii kabisa mkuu, pesa Haina kelele.
Imagine:
Mtu anatoa zaid ya bil 400+ cash ili TU kununua Shea 96% za kiwanda, Kimya bila Kelele.
Ila Kuna mwngn bil. 20 TU kuchangia 49% ya Shea,anatuonesha tu bango la cheki alilochora Kwa coral Paints.
Anaulizwa statement account alikoingiza pesa ananuna wiki nzima,
analalamika kelele mji mzima anahujumiwa, wakimkazia anarudisha Hadi historia nyuma wakumbuke alikowatoa.
Yaani mpk anatishia kabisa kususa.
Kweli Kuna bilionea pale kweli?