Bongo huenda tuna watu wenye hela nyingi kuzidi hawa mabilionea wetu wanaoshinda kwenye vioo na camera.
Mbowe hata sio bilionea, ni mfanyabiashara wa kawaida tu wa kati.Tatizo mabillionere wa kibantu wanawekeza Kwa machawa kuliko biashara mfano tu billionaire Mbowe
Ndiyo maana huwa sina imani na mabilionea wa urithiSahii kabisa mkuu, pesa Haina kelele.
Imagine:
Mtu anatoa zaid ya bil 400+ cash ili TU kununua Shea 96% za kiwanda, Kimya bila Kelele.
Ila Kuna mwngn bil. 20 TU kuchangia 49% ya Shea,anatuonesha tu bango la cheki alilochora Kwa coral Paints.
Anaulizwa statement account alikoingiza pesa ananuna wiki nzima,
analalamika kelele mji mzima anahujumiwa, wakimkazia anarudisha Hadi historia nyuma wakumbuke alikowatoa.
Yaani mpk anatishia kabisa kususa.
Kweli Kuna bilionea pale kweli?
Huyu mwamba ana hela balaaHata Mbeya Cement kainunua Mwaka huu
ujanja ujanja mwingi na kucheza na media snNdiyo maana huwa sina imani na mabilionea wa urithi
Ni Mfanyabiashara Mzoefu kutoka familia ya Oilcom sasa hivi yeye anamiliki Vituo vya Mafuta Camel Oil na Kiwanda cha Saruji hapa nchini chenye Chapa ya Camel Cemnt.Huyo Edhah Abdallah ni nani hapa nchini Tanganyika?, kumbe tuna mabilionea wengi wa Tshs kuliko wale tuliozoea kuwasikia
Hii ni myth Mkuu, kipindi cha Magu masikini walizidi kuwa masikini na Matajiri wakazidi kuwa matajiri.Huenda pia, maana mafisadi hawana pa kuficha pesa zao za wizi zaid ya kuomba shea background.
awamu ya magufuli hayakuepo kbs haya mambo.