BAN, BAN, BAN, zimepotelea wapi? Jamani nimemis ban

BAN, BAN, BAN, zimepotelea wapi? Jamani nimemis ban

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu zile ban zimepotelea wapi? au nazo zilikua jipu? enzi zile ban zilikua kama sifa mi mwaka jana nilikula ban 35, au zinamuogopa magu? ban baaaaan nimekumis ban
 
hahahah! pumzika salama. wenyewe wamekusoma!
 
Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN
 
Hizo BAN zilinifanya nisuse ID na kutengeneza nyingine ila kelele zetu makapuku kupitia rais wetu bitoz zimesaidia kupunguza BAN
Tuna lalamiko letu kule jukwaa LA malalamiko toka jana MODS wameingia mitini ....makapuku wamekinukisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nahisi nami nilikuwa mhanga mkubwa wa ban asee!! Ila ban zilikuwa moto kipindi cha uchaguzi. Siku hizi full kula moisture tu.
 
Back
Top Bottom