Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu wangu Rose kakataa leo nisijibu maswali yote ya darasani!!!!haya nipo break kwa muda!!!!!!!!!!!!
we bacaha nimekwambia stak uchokoz...kwanini uniite mwalimu?
mwalimu asi yule wa mwandiko kwan mimi mwalimu wa mmwandiko na maandish??
kaa kimya nimekwambia mwone vle.....chek spellng uko makosa kibaooooooooooo ata sjaelewa umeandka nin
Mwalimu wangu Rose kakataa leo nisijibu maswali yote ya darasani!!!!haya nipo break kwa muda!!!!!!!!!!!!