zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Kuna kipindi alipata ban, sijui nani alimchezea uhuni.Hivi kuna mtu ambae ana uwezo wa kumpa ban invisibo??!!
Kuna kipindi alipata ban, sijui nani alimchezea uhuni.
Hivi kuna mtu ambae ana uwezo wa kumpa ban invisibo??!!
watch this: unataka kumtuliza invisible? invisible anakuona na thats y anakupostia thread zako na ndie anahost site hii. so can you ban him/her? try