Ban ya mwaka 1 kama Man City akifungwa na Arsenal leo

Mkuu nimezaliwa mama Simba baba Simba unategemea nini? Simba iko damuni..and am proud to be Simba girl
Sina cha kuongeza, ila nitajitahidi kukubembeleze taratiiibu uhame Simba hadi uje Yanga hata kama ni kishingo upande Mama...[emoji142]

Huoni ni janga kwenu wote siku Simba ikifungwa [emoji848]
 
Hahaha kila mtu anapambana na hali yake..halafu wazee kwa sasa hawana time kivilee.
 
Huwa mnanuniana tu wala hakuna wa kumpa mwenziye pole?

Basi nikuombe kwa heshima na taadhima uwe Yanga ili siku Simba wakifungwa uwe mfariji kwa Wazazi wetu, au siyo Mama?
 
Back
Top Bottom