Bana matumizi ya kwa kutumia mkaa wa kisasa Supplies,

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Je, umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa mkaa? Au umekuwa ukipika kwa muda mrefu?
Kama jibu ni ndiyo, sisi mkaa wa kisasa supplies tumekuletea ufumbuzi kwa kuja na technolojia mpya.

Inayotumia malighafi kama vifuu vya nazi,maranda ya mbao na makumbi ya nazi pasi na kukata miti, kutengeneza mkaa wenye joto lisiloathiri sufuria na linalokaa kwa muda mrefu ukifananisha na mikaa mingine.

Mkaa huu pia ni bei nafuu ambapo kilo moja huuzwa tzs 1,000/- (elfu moja) kwa bei ya reja reja na tzs 700 kwa mteja wa jumla kuanzia kilo 20. Utaletewa mpaka ulipo.
Kumbuka, Endapo mkaa huu haujatatua matatizo tajwa hapa juu, turudishie uliobaki ,nasi tutakurudishia pesa yako kwa ukamilifu.

Kwa maelezo au mahitaji ya mkaa huu, wasiliana na:

0713-039875

Mussa,
Technical Consultant,
Mkaa wa Kisasa Supplies,
 
Attachments

  • Mkaa mbadala.jpg
    Mkaa mbadala.jpg
    40 KB · Views: 248
  • Mkaa mbadala 2.jpeg
    Mkaa mbadala 2.jpeg
    76.6 KB · Views: 223
  • mkaa mashine.jpg
    mkaa mashine.jpg
    17.8 KB · Views: 250
Je, umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa mkaa? Au umekuwa ukipika kwa muda mrefu?
Kama jibu ni ndiyo, Sisi MKAA WA KISASA SUPPLIES tumekuletea ufumbuzi kwa kuja na technolojia mpya inayotumia malighafi kama vifuu vya nazi,maranda ya mbao na makumbi ya nazi pasi na kukata miti, kutengeneza mkaa wenye joto lisiloathiri sufuria na linalokaa kwa muda mrefu ukifananisha na mikaa mingine.
Mkaa huu pia ni bei nafuu ambapo kilo moja huuzwa tzs 1,000/- (elfu moja) kwa bei ya reja reja na tzs 700 kwa mteja wa jumla kuanzia kilo 20. Utaletewa mpaka ulipo.
Kumbuka, Endapo mkaa huu haujatatua matatizo tajwa hapa juu, turudishie uliobaki ,nasi tutakurudishia pesa yako kwa ukamilifu.

Kwa maelezo au mahitaji ya mkaa huu, wasiliana na:

0713-039875

Mussa,
Technical Consultant,
Mkaa wa Kisasa Supplies,
 
Attachments

  • mkaa mashine.jpg
    mkaa mashine.jpg
    17.8 KB · Views: 183
  • Mkaa mbadala 2.jpeg
    Mkaa mbadala 2.jpeg
    76.6 KB · Views: 167
  • Mkaa mbadala.jpg
    Mkaa mbadala.jpg
    40 KB · Views: 190
Ikawaje tupe ujuzi tunaogopa kununua then ukawa unatumika kama maonyesho kwa wageni.
Unazingua sana huo labda uwashe mkaa wa kawaida halafu ukikolea ndio uchanganye na huo mkaa wa makaratasi
 
Huu ni tofauti. Kuna ule wanachanganya vumbi la mkaa wa kawaida ndo unasumbua. Huu ni malighafi zilotajwa hapo juu kwa 100%. Utarudishiwa hela yako usipokufaa
 
Oooh sawa mkuu nitakutafuta
 
Je, umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa mkaa? Au umekuwa ukipika kwa muda mrefu?
Kama jibu ni ndiyo, Sisi MKAA WA KISASA SUPPLIES tumekuletea ufumbuzi kwa kuja na technolojia mpya inayotumia malighafi kama vifuu vya nazi,maranda ya mbao na makumbi ya nazi pasi na kukata miti, kutengeneza mkaa wenye joto lisiloathiri sufuria na linalokaa kwa muda mrefu ukifananisha na mikaa mingine.
Mkaa huu pia ni bei nafuu ambapo kilo moja huuzwa tzs 1,000/- (elfu moja) kwa bei ya reja reja na tzs 700 kwa mteja wa jumla kuanzia kilo 20. Utaletewa mpaka ulipo.
Kumbuka, Endapo mkaa huu haujatatua matatizo tajwa hapa juu, turudishie uliobaki ,nasi tutakurudishia pesa yako kwa ukamilifu.

Kwa maelezo au mahitaji ya mkaa huu, wasiliana na:

0713-039875

Mussa,
Technical Consultant,
Mkaa wa Kisasa Supplies,
Poa Mkuu,
Unapatikana Namtumbo sehemu gani?
Manake nami pia nipo Namtumbo na ninauhitaji pia.
 
Ooh kumbe ndio huu wa kisasa

Mkuu hizo mashine mlitenheneza sido au??

MAANA KTK PITAPITA ZANGU YOU TUBE NIKAKUTANA NA WAHINDI WANATENHEZA MKAA FROM WASTE(makaratasi,mabox,maganda ya Miti nk ) BAADA ya hapo wanamix na starch katka uwiano walisahihi kadr ya mahesabu yao

Ktk matumiz nikaona unawaka fresh na pia vipisi vinne Tuu vinaivisha maharage

Nimetaman nikawasoma na ktk pitapita nikaona kumbe na tz tayar

Wapo jamaa mbez,bagamoyo,na zenj

But huku mkoa hamna,ni cheap sana my b gharama na hizo mashine

But nikaona India na China kuna wamama wanafinyanga kwa mkono then wanauanika unakuwa pouwa sana

Sasa nikataka jarbu nami kwa mkono nmechemka nimeanika na kuanua bado chenga

Ila nitaweza tu

So nikaja humu kufufua nyuz kumbe mpk tayar??

Natumai nitakutafuta unisaidie mkuu
 
NA PIA NILIPO JARIBU NA PUMBA ZA MPUNGU AISEE NILIPOWEKA KWENYE PIPA SIJUI NILIKOSEA UDOGO WA MASHIMO AU VIPI..moto ukiwaka ni juu haushuki chini nikaacha usiku mzima nikakutana Yale majivu kabisa yasio faa *****

Bora makaratasi niliweza kidogo

Msaada wako
 
Huu ni tofauti. Kuna ule wanachanganya vumbi la mkaa wa kawaida ndo unasumbua. Huu ni malighafi zilotajwa hapo juu kwa 100%. Utarudishiwa hela yako usipokufaa
Wa vumbi la mkaa wakawaida ndo sio mzuri? Na je maranda,makumbi ya nazi,vifuu ukishavichoma unachanganya na nini au unaingiza kwenye mashine moja kwa moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom