Bana matumizi ya kwa kutumia mkaa wa kisasa Supplies,

Bana matumizi ya kwa kutumia mkaa wa kisasa Supplies,

Mkuu Mimi Nina wazo formula ya kutengeneza Briquettes na package nzuri. Halafu hapo kwenye kifungashio Kuna namba za TTCL. Itakuwa vizuri tukiwa na mitandao ya mkononi.
 
Je, umekuwa ukitumia pesa nyingi kwa mkaa? Au umekuwa ukipika kwa muda mrefu?
Kama jibu ni ndiyo, sisi mkaa wa kisasa supplies tumekuletea ufumbuzi kwa kuja na technolojia mpya.

Inayotumia malighafi kama vifuu vya nazi,maranda ya mbao na makumbi ya nazi pasi na kukata miti, kutengeneza mkaa wenye joto lisiloathiri sufuria na linalokaa kwa muda mrefu ukifananisha na mikaa mingine.

Mkaa huu pia ni bei nafuu ambapo kilo moja huuzwa tzs 1,000/- (elfu moja) kwa bei ya reja reja na tzs 700 kwa mteja wa jumla kuanzia kilo 20. Utaletewa mpaka ulipo.
Kumbuka, Endapo mkaa huu haujatatua matatizo tajwa hapa juu, turudishie uliobaki ,nasi tutakurudishia pesa yako kwa ukamilifu.

Kwa maelezo au mahitaji ya mkaa huu, wasiliana na:

0713-039875
Mussa,
Technical Consultant,
Mkaa wa Kisasa Supplies,
Mkuu project bado unafanya? Nahitaji some advise kwenye hili pls.
 
Back
Top Bottom