Pre GE2025 Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Sasa kama mtu mke wake ni mmoja ya wabunge wa Covid 19 aliyeingia Bungeni kwa hila za CCM mnategemea ataongea nini?

Hao ni watu wanaonufqikq na mfumo dhalimo uliopo! Hawana Moral authority ya kuongelea hoja nzito za haki zinazosemwa na CHADEMA

Huyp Bananga ni miongoni mwa mapunguani ya akili yaliyojazana huko CCM.

Punguani lisitupotezee muda wa kulijadili. Ignore it.
 
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
sio tu mwendawazimu,
bali pia hizo ni kauli za matapeli na vibaka wa kisiasa, waliokosa uelekeo, hoja na wanaopitia ukata wa kiwango kibaya sana cha uchumi 🐒
 
Tatizo akili yake imejikita zaidi kwenye uchawa hawezi kuelewa maana yake,lakini wenye akili tumemuelewa Lissu hatuwezi kwenda kupiga kura wakati kura zetu hazidhaminiwi na CCM na tume yake tayali wanakuwa na matokeo yao ya mfukoni
 
UMD,LND,MAKINI,NRA DP TADEA
ivyo ni baadhi tu ya vyama vya upinzani Tz

So sioni haja ya kuwakashifu chadema kwa maamuzi yao

mtagombea na hao wengne kwan navyo pia ni vyama upinzani
 
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwendazimu ni yeye na genge lake
 
sio tu mwendawazimu,
bali pia hizo ni kauli za matapeli na vibaka wa kisiasa, waliokosa uelekeo, hoja na wanaopitia ukata wa kiwango kibaya sana cha uchumi 🐒
Mara hii unamkana mwenzako Tlaahtlaah!
 
Hoja zake ni za kipumbavu,haya madai ya CHADEMA si ya chama ,ni ya wananchi Haina uhusiano na chama!
 
Mfa maji haishi kutapatapa. Ccm wanakaribia kukata moto. Sikio la kufa halisikii dawa
 
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ndiyo una haki ya kusema ,lakini wanarakiwa kusikilizwa, wasikilizwe mawazo yao yapewe nafasi kabla hawajawa wengi.
Ni rahisi sana kuwazuia wendawazimi wachache kama walivyo sasa kuliko kuwaangamiza wakishakuwa wengi.
Congo walianza wachache leo hawazuiliki, Sudan walianza wachache wakaitwa wendawazimu leo wannaunda serikali yao,hawazuiliki tena.
Ni watanzania hao wendawazimu, wanamalalamiko yao wasipjuzwe kwa kuwa ni wachache,wakiwa wengi utawazuia kwa kumwaga damu na hutaweza tena.
Jifunze kwa wenzio majirani.
 
Ndio uzuri wa ngoma ya Lissu, CCM wanaicheza bila wenyewe kujua.

Taratibu wananchi wanaendelea kufahamu juu ya No Reforms No Election.
 
Bananga namjua personally uzuri tumekuwa mtaa mmoja Mbauda na ni mamluki msaliti kabisa na mkewe ni covid 19. Mtu kama huyo ambae hata pombe alikuwa anapitisha glass kwenye meza zetu ili tummiminie kvant ni very cheap person.

Hana jipya ni msaliti asiekuwa na maana na ni marioo aliekubuhu.
 
Back
Top Bottom