Pre GE2025 Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu

Pre GE2025 Bananga (Katibu wa siasa na uenezi CCM, DSM) asema No reform No election ni kauli ya kiwendawazimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu fala na kula kwa mgongo wa mke wake msaliti akae kimya
 
Si wa kijani huyu mwenzako?Mpe kwenzi.
unampaje kwenzi mtu anaeeleza ukweli mtupu naman hiyo gentleman?

ni mwendowazimu, kibaka na tapeli wa kisiasa pekee ndie anaweza kuchochea No reform No Elections,

hali yakua hajafanya reform yeyote kwenye taratibu za uchaguzi wa chama chake mwenyewe, utaratibua ambao aliulalamikia kwa makelele na mdomo sana kabla hajachaguliwa,

and therefore,
no reform no elections is useless and nonsense scam :NoGodNo:
 
Hii ndio imebamba kitaa,No reform,No election!
 
Back
Top Bottom