the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Sasa kama mtu mke wake ni mmoja ya wabunge wa Covid 19 aliyeingia Bungeni kwa hila za CCM mnategemea ataongea nini?
Hao ni watu wanaonufqikq na mfumo dhalimo uliopo! Hawana Moral authority ya kuongelea hoja nzito za haki zinazosemwa na CHADEMA
sio tu mwendawazimu,Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo akili yake imejikita zaidi kwenye uchawa hawezi kuelewa maana yake,lakini wenye akili tumemuelewa Lissu hatuwezi kwenda kupiga kura wakati kura zetu hazidhaminiwi na CCM na tume yake tayali wanakuwa na matokeo yao ya mfukoniKatibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hayo ni matawi ya CCMUMD,LND,MAKINI,NRA DP TADEA
ivyo ni baadhi tu ya vyama vya upinzani Tz
So sioni haja ya kuwakashifu chadema kwa maamuzi yao
mtagombea na hao wengne kwan navyo pia ni vyama upinzani
Mwendazimu ni yeye na genge lakeKatibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu
View attachment 3247630
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mara hii unamkana mwenzako Tlaahtlaah!sio tu mwendawazimu,
bali pia hizo ni kauli za matapeli na vibaka wa kisiasa, waliokosa uelekeo, hoja na wanaopitia ukata wa kiwango kibaya sana cha uchumi 🐒
yaani kibaka na tapeli wa siasa,Mara hii unamkana mwenzako Tlaahtlaah!
Si wa kijani huyu mwenzako?Mpe kwenzi.yaani kibaka na tapeli wa siasa,
wa kuchochea wananchi wasishiriki uchaguzi mkuu wa kidemokrasia awe mwenzangu, kweli gentleman?
au umenifananisha?
Ndiyo una haki ya kusema ,lakini wanarakiwa kusikilizwa, wasikilizwe mawazo yao yapewe nafasi kabla hawajawa wengi.Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na kipindi cha Morning Bantu