J Jman Member Joined Jan 19, 2015 Posts 39 Reaction score 2 Feb 12, 2015 #1 Habari wanaJF! Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya biashara ya chips maeneo ya Dar es salaam. Aliye na jiko au aliyesikia kuna mahali jiko la kukodi ani-PM..
Habari wanaJF! Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya biashara ya chips maeneo ya Dar es salaam. Aliye na jiko au aliyesikia kuna mahali jiko la kukodi ani-PM..
Dodo18 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 315 Reaction score 93 Feb 12, 2015 #2 nilikua nataka nifungue uzi kama wako ndngu sababu mi mwenyew pia natafuta goli la chipsi..