Banda la biashara ya chips

Banda la biashara ya chips

Jman

Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
39
Reaction score
2
Habari wanaJF!

Natafuta jiko la kukodi kwa ajili ya biashara ya chips maeneo ya Dar es salaam. Aliye na jiko au aliyesikia kuna mahali jiko la kukodi ani-PM..
 
nilikua nataka nifungue uzi kama wako ndngu sababu mi mwenyew pia natafuta goli la chipsi..
 
Back
Top Bottom