Banda linauzwa Ubungo Makoka

Banda linauzwa Ubungo Makoka

McAnton

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
259
Reaction score
37
Liko makoka karibu na shule ya msingi.lina uwezo wa kuwa na vyumba 3 ijapokuwa halijakatwa vyumba ndani,lilikuwa linatumika kama darasa la nursery school.liko kwenye kiwanja chenye eneo la ziada linalofaa kwa ujenzi.
Bei ni milioni 16 tu
piga 0713565999
 
Back
Top Bottom